Walevi wanajifariji sana

Walevi wanajifariji sana

Watu wengi hawajui kuwa unafiki nao ni aina ya ulevi
 
Ngoja chupa iishe ntamjib mleta mada
IMG-20200719-WA0006.jpg
 
Asante mkuu. Huwa nawaonea huruma sana wanapojitetea. Mara mimi nakunywa kwa mahesabu, mara ninaweza kuendesha gari nikiwa bwii. Yaani wanatumia nguvu kubwa sana.

Wewe uko Bar mkeo analiwa kimasihara na wahuni huko mtaani.

Sent from my Infinix Zero 3 using JamiiForums mobile app

Sasa msiokunywa mnajiona Jesus sana. Mnajifanya mnaijuuua Future utadhani nyie matajiri. Tusifokeane. Bila Pombe si ajabu usingezaliwa. Hebu kuwa na adabu.
 
Pombe imenifanya nijuane na watu makini wengi sana, imenipa wigo mpana sana wa connection na dili nyingi, bila pombe nisingekuwa na marafiki wengi tena wa muhimu ktk biashara zangu.

Hakika pombe imeniongezea marafiki siwezi kuiacha labda wachome mashamba ya ngano yote
 
Hakuna watu wanafki kama wasiyo kunywa pombe
Eti mwingine hanywi pombe lkn anajifanya anakuonea huruma pesa zako ohhh unatumia pesa vibaya Kwan ananisaidia kutafuta au anajua Channel zngu..... Alafu hyo asiye tumia pombe kutwa kwenda mjini na mabahasha na madocument
Oh kna dili nalifatiliaaaa dili Miaka nenda rudi halitusui[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
MAMBO YA KUPANGIANA MATUMIZI SIPENDI KABISA
wangari nko mtaa wa akiba bank Kino kna duka la mangi mmja tupo kama kawaida yetu kwenye ibada hapa karibuuu

Ova

Mkuu

Wakati nimepanga nyumba moja hivi, niliwahi kuambiwa na mama mwenye nyumba..."Huwezi kupata maendeleo kwa tabia hii ya kunywa pombe mara kwa mara..."

Sikumjibu

Leo hii, nikikumbuka maneno yake halafu nikijiangalia nilipo hanifikii hata robo.

Kila mtu ashinde mechi zake...tusipangiane maisha!
 
Hakuna watu wanafki kama wasiyo kunywa pombe
Eti mwingine hanywi pombe lkn anajifanya anakuonea huruma pesa zako ohhh unatumia pesa vibaya Kwan ananisaidia kutafuta au anajua Channel zngu..... Alafu hyo asiye tumia pombe kutwa kwenda mjini na mabahasha na madocument
Oh kna dili nalifatiliaaaa dili Miaka nenda rudi halitusui[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
MAMBO YA KUPANGIANA MATUMIZI SIPENDI KABISA
wangari nko mtaa wa akiba bank Kino kna duka la mangi mmja tupo kama kawaida yetu kwenye ibada hapa karibuuu

Ova


Aahhahhaaha mkuu sipati somrtymz notification..! Enjoy mkuu..ukija siku tukae Florida hapa round abt..chocho jipyaaa...sema halina wahudumu classic..wahudumu gan wamefunga vilemba Kama wainjilist
 
Walevi mmetisha sana kwenye huu uzi.
Ila mkumbuke familia zenu basi maana tunawaona wenzenu wengine huku mitaani wametelekeza familia kisa gambe.

Na pia muwe mnafanya ukaguzi wa mara kwa mara wa afya zenu kwani mtake msitake pombe ina madhara kiafya kwa kiwango chochote kile inachonywewa na hapa msilete ngonjera za "unywaji pombe kupita kiasi...".

Chengine mkumbuke starehe duniani sio pombe tu na sio kila anayekunywa pombe ni mjanja na mtu wa dili kama vile ambavyo wasiokunywa pombe sio wote ni washamba na wasiojua starehe.

Venginevyo endeleeni kula maji maisha ni kuchagua na kila mtu afurahie chaguo lake.

Mleta uzi wasindikize masela na wimbo wa "Dear gambe" kutoka kwa Young Killer Msodoki wasukutue koo kabla ya kushushia vyombozzz!.
Ha ha ha umetisha bosi. Sisi kazi yetu ni kushauri tu. Uamuzi wa kuacha tuwaachie wao.
 
Bora umeliona kama mimi, watu kama hawa kazini upenda kujipendekeza na kuwachongea wengine.
Wana tabia za kishamba.
Wewe kenge, mimi sijaajiriwa mimi na kluuu langu ndio tumeajiri vijana kama wewe.

Tukiwapa ushauri msijifanye wajanja kuliko sisi kaka zenu.

Tumezaliwa hapa hapa mjini, tumewapokea hapa mjini, mnajifunza pombe tunawaona ila tukiwashauri mnatuita washamba.

Pole sana dogo!
 
We endelea kutokunywa pombe ili uzidi Kuaminika na kupandishwa Vyeo kwenye ofisi za Umma, Sisi walevi acha tue tuendelee kukutana bar tu discuss Dili za maana na mwisho wa siku tuendelee kushikilia investment zetu, Ile hali wewe ukilamba miguu ya ma boss zako na kusubiri promotion Kazini kwako
Sawa. Endelea kunywa kwa raha zako!
 
Live and let live....acha kufuatilia mambo ya watu.



Let's meet at the top, cheers 🥂
 
Back
Top Bottom