Walevi wanajifariji sana

SN.BARRY

JF-Expert Member
Oct 12, 2012
4,038
8,923
Mlevi ni mlevi tu hata kama unakunywa bia mbili kwa siku bado hiyo ni pombe.

Kuna jamaa tunafanya naye kazi anatumia nguvu kubwa kujitetea kuhusu ulevi wake baada ya heshima yake kushuka. Hadi namuonea huruma.

Kuna baadhi ya ofisi huwezi kuaminika au kuheshimika kama unatumia kilevi.

Vijana tuwe makini na pombe, usifanye vitu kwa kufuata mkumbo ili uonekane na wewe wa kisasa.

Pombe itakuharibia kazi, heshima yako, ndoa yako na uhusiano wako na jamii.

Nimefaya uchunguzi binafsi kwenye taasisi tofauti, watu wasiokunywa pombe wanaaminiwa na kuheshimika kuliko wanaotumia kilevi.
 
Ulimbukeni na kuiga ni kubaya sana. Dogo tumemuajiri katoka chuo akiwa safi. Kufika ofisini anaanza kufuata mkumbo wa walevi utadhani mtoto wa form I au form II.

Vijana muwe makini na future zenu, familia zinawategemea.

Ninaongea kwa uchungu kama kaka yenu ninayewapenda, SIO KWAMBA NAWAONEA WIVU.

Sent from my Infinix Zero 3 using JamiiForums mobile app
 
Hawatakuelewa, kubali kataa POMBE HAINA MWALIMU na kamwe pombe siyo Chai acha kujivunjia heshima
Asante mkuu. Huwa nawaonea huruma sana wanapojitetea. Mara mimi nakunywa kwa mahesabu, mara ninaweza kuendesha gari nikiwa bwii. Yaani wanatumia nguvu kubwa sana.

Wewe uko Bar mkeo analiwa kimasihara na wahuni huko mtaani.

Sent from my Infinix Zero 3 using JamiiForums mobile app
 
Ulimbukeni na kuiga ni kubaya sana. Dogo tumemuajiri katoka chuo akiwa safi. Kufika ofisini anaanza kufuata mkumbo wa walevi utadhani mtoto wa form I au form II.

Vijana muwe makini na future zenu, familia zinawategemea.

Ninaongea kwa uchungu kama kaka yenu ninayewapenda, SIO KWAMBA NAWAONEA WIVU.

Sent from my Infinix Zero 3 using JamiiForums mobile app
Kila mtu asimamie anachokiamini tusofokeane bhana aaaargh
 
Mlevi ni mlevi tu hata kama unakunywa bia mbili kwa siku bado hiyo ni pombe.

Kuna jamaa tunafanya naye kazi anatumia nguvu kubwa kujitetea kuhusu ulevi wake baada ya heshima yake kushuka. Hadi namuonea huruma.

Kuna baadhi ya ofisi huwezi kuaminika au kuheshimika kama unatumia kilevi.

Vijana tuwe makini na pombe, usifanye vitu kwa kufuata mkumbo ili uonekane na wewe wa kisasa.

Pombe itakuharibia kazi, heshima yako, ndoa yako na uhusiano wako na jamii.

Nimefaya uchunguzi binafsi kwenye taasisi tofauti, watu wasiokunywa pombe wanaaminiwa na kuheshimika kuliko wasiotumia kilevi.

Sent from my Infinix Zero 3 using JamiiForums mobile app
Kwenye Conclusion sijakuelewa.
Hapo wanaotumia kilevi ndio wanaaminika au wasiotumia ndio wanaaminika?
 
Kwahyo msiouknywa hamkaziwi hao wake zenu au?..mwe...

Asante mkuu. Huwa nawaonea huruma sana wanapojitetea. Mara mimi nakunywa kwa mahesabu, mara ninaweza kuendesha gari nikiwa bwii. Yaani wanatumia nguvu kubwa sana.

Wewe uko Bar mkeo analiwa kimasihara na wahuni huko mtaani.

Sent from my Infinix Zero 3 using JamiiForums mobile app
 
Asante mkuu. Huwa nawaonea huruma sana wanapojitetea. Mara mimi nakunywa kwa mahesabu, mara ninaweza kuendesha gari nikiwa bwii. Yaani wanatumia nguvu kubwa sana.

Wewe uko Bar mkeo analiwa kimasihara na wahuni huko mtaani.

Sent from my Infinix Zero 3 using JamiiForums mobile app

Hutujui hata nukta wewe..mtu anayewajua wanawake humu ni mmoja tu...ana jina fulan la kiislamu..ww mweupe mnoo upstairs
 
Back
Top Bottom