Walevi wanajifariji sana

Walevi wanajifariji sana

Ndio wanaaminika na maendeleo yao kimaisha yakoje?
Nimefaya uchunguzi binafsi kwenye taasisi tofauti, watu wasiokunywa pombe wanaaminiwa na kuheshimika kuliko wasiotumia kilevi.

Wewe mwenyewe umelewa hii post kaandika mlevi
 
Halafu wanatumia nguvu kubwa sana kutuchafua tusiokunywa...ooh kama hunywi pombe lazima utakuwa ma.laya, mtu wa majungu n.k na kujifanya eti wao ni watu poa
 
Halafu wanatumia nguvu kubwa sana kutuchafua tusiokunywa...ooh kama hunywi pombe lazima utakuwa ma.laya, mtu wa majungu n.k na kujifanya eti wao ni watu poa
Kunywa pombe upate usingizi mkuu
 
Hawa ndio wakiingia kwenye sherehe analazimisha kunywa soda nne ili mradi afidie mchango wake aliotoa mwisho wake anatoka tumbo limejaa ndii!!! Huku wazee wa bia wakishusha taratiib bila presha......
 
Mlevi ni mlevi tu hata kama unakunywa bia mbili kwa siku bado hiyo ni pombe.

Kuna jamaa tunafanya naye kazi anatumia nguvu kubwa kujitetea kuhusu ulevi wake baada ya heshima yake kushuka. Hadi namuonea huruma.

Kuna baadhi ya ofisi huwezi kuaminika au kuheshimika kama unatumia kilevi.

Vijana tuwe makini na pombe, usifanye vitu kwa kufuata mkumbo ili uonekane na wewe wa kisasa.

Pombe itakuharibia kazi, heshima yako, ndoa yako na uhusiano wako na jamii.

Nimefaya uchunguzi binafsi kwenye taasisi tofauti, watu wasiokunywa pombe wanaaminiwa na kuheshimika kuliko wanaotumia kilevi.
Frustrations kaka
 
Wewe kenge, mimi sijaajiriwa mimi na kluuu langu ndio tumeajiri vijana kama wewe.

Tukiwapa ushauri msijifanye wajanja kuliko sisi kaka zenu.

Tumezaliwa hapa hapa mjini, tumewapokea hapa mjini, mnajifunza pombe tunawaona ila tukiwashauri mnatuita washamba.

Pole sana dogo!
Wewe mbweha kaa kimya, kwanza unijui! Eti niache pombe! Bila pombe pengine usingezaliwa.
Ila ndo tabia zenu zilivyo.. unajiona mwanaume kumbe umejawa na tabia za kike.
 
Wewe mbweha kaa kimya, kwanza unijui! Eti niache pombe! Bila pombe pengine usingezaliwa.
Ila ndo tabia zenu zilivyo.. unajiona mwanaume kumbe umejawa na tabia za kike.
Bila pombe nisingezaliwa???

Unatumia kiungo gani kufikiria???
 
Mlevi ni mlevi tu hata kama unakunywa bia mbili kwa siku bado hiyo ni pombe.

Kuna jamaa tunafanya naye kazi anatumia nguvu kubwa kujitetea kuhusu ulevi wake baada ya heshima yake kushuka. Hadi namuonea huruma.

Kuna baadhi ya ofisi huwezi kuaminika au kuheshimika kama unatumia kilevi.

Vijana tuwe makini na pombe, usifanye vitu kwa kufuata mkumbo ili uonekane na wewe wa kisasa.

Pombe itakuharibia kazi, heshima yako, ndoa yako na uhusiano wako na jamii.

Nimefaya uchunguzi binafsi kwenye taasisi tofauti, watu wasiokunywa pombe wanaaminiwa na kuheshimika kuliko wanaotumia kilevi.
Ongeza na hili:
Wasiokunywa pombe na wanaoheshimu ndoa zao kwa kutokufanya umalaya!
 
Wanywa soda wengi hawajaendelea.. Hela unavyoitumua ndivyo unavyopata akili ya kuitafuta alafu kingine network nyingi ziko bar[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
Utadhani anatununulia yeye..!!!
 
IMG_3895.JPG
 
Back
Top Bottom