Walevi nawaomba hapa leo

Umekaa kilaini laini sana bwashee ,wala sikusema kwa ubaya ila unaonekana mtoto wa mama kinouma πŸ˜€

Mwanaume unapaswa uwe mtata na hata ngeu ya upanga usoni bwashee πŸ˜ƒπŸ˜ƒ sasa wewe kapole , kalaini laini kama ka toto ka mama πŸ˜‚πŸ˜‚
Mekuu..πŸ€” tabasam la Mamba lisikudanganye, everything is(say my name) here 🀣🀣🀣 Ipo siku atakushangaza oooh
 
Nikikuita aisesie, apansia, Manka, maminja, utafurahi🀣🀣🀣?? Why mura lakiniπŸ™‚β€β†•οΈ ita umukari wa hene. Atakunyolesha kipara akili utaziacha getini
Bhoke tulia, mangi nakula bia zangu hapaπŸ˜… nawaza vijana wanichomee ubavu mzima wa mbuzi au niache , kesho nile supu na chapati🀣🀣🀣
 
Bro min -me . Mm leo na kesho Najitunza.
Kwanza hali ya hewa haijakaa sawa pande hizi. Mavua mvua toka mornie. Jua halijatoka kabisa leo.
Kukaa Bar alaf bojo likashuka naonaga Jau.

Seran shemej angu kabisa.
Nimekumic na uwe na usiku mwema.
Bwashee ukifuatia nasa kwa kina unapaswa kunywa pombe sana , uliona ile picha na video ya NASA kwa umakini na tafakuru?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…