min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 56,016
- 159,553
Ukija na akili yako ya kiyumbu humu unakalishwa kilaini sana 🤣
Humu unatakiwa ukae kiaskari , hakuna fala ila mafala wapo ila wakielewa game wana badilika haraka.
Humu kuna wasomi, matajiri , na sisi wenye kubadilisha mlo na bia ya kujimudu hapa nipo 🤣.
Humu kuna wale ni wasomi wanaokaa kwa shemeji au wazazi ila walichobakiwa nacho ni kujiamini tu , hapa kuna wimbi😃
jf ni yetu sote 🤣 kwa sasa nimezima kwa pombe mabwashee😃😃