Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 47,160
- 188,656
Jamani jamani π π Romea kaagiza Heineken. Anyways bado lipo pale pale kwenye chat wachana na majirani π
Hivi ile offer iliishia wapi?
Jamani jamani π π Romea kaagiza Heineken. Anyways bado lipo pale pale kwenye chat wachana na majirani π
π₯Έπ₯Έ Niliweka offer mkaipotezea... ili expire hadi siku ingine tena ikitangazwa πππ.. majirani ni kama fujo tu Julieth.. wasikupe maumivu ya nafsiJamani jamani π π Romea kaagiza Heineken. Anyways bado lipo pale pale kwenye chat wachana na majirani π
Hivi ile offer iliishia wapi?
Nitafanyaje sasa? I've to accept kiroho safi ππ₯Έπ₯Έ Niliweka offer mkaipotezea... ili expire hadi siku ingine tena ikitangazwa πππ.. majirani ni kama fujo tu Julieth.. wasikupe maumivu ya nafsi
Na kweli, offer mliipiga chini πππNitafanyaje sasa? I've to accept kiroho safi π
Tatizo haukuwa serious πNa kweli, offer mliipiga chini πππ
Haaa! Julieth.. mtu akiwa serious anakuwaje ? Mie mbona nilikuwa seious sanaTatizo haukuwa serious π
Anakuwa anakumbushia πHaaa! Julieth.. mtu akiwa serious anakuwaje ? Mie mbona nilikuwa seious sana
Pm zetu hamjibugi, tukiwafata mna tu block acha tutulie tu πππππAnakuwa anakumbushia π
Pole jamani π πPm zetu hamjibugi, tukiwafata mna tu block acha tutulie tu πππππ
Tushapoa watuma pm, sasa hivi tuna mbinu zetu mpyaπ₯Έπ₯Έπ₯ΈPole jamani π π
Ipo siku kilio chako kitapata majibu.
Ha ha ha!Ha ha ha we jamaa hiki kitabu cha Sira hakipo kwenye vitabu tulivyokubaliana.
leo umetubambaaπ
ni swala binafusi iloMvinyo kidogo unaitafsiri vipi? Nusu lita, lita moja au.....
huu uzi unanichanganya biblia gani wengine mnasomaaπ π πSoma hapa wewe View attachment 1862837
Hapa inategemea na kichwa cha MTU...hahahahahahaMvinyo kidogo unaitafsiri vipi? Nusu lita, lita moja au.....