Naamini uko sahihi. Japo siyo wote. Wengi wetu ni hivyo, walevi, wanafiki na uzinzi umetujaa sana.Tumekuwa wazinzi na walevi wa pombe kupindukia na tumekuwa wanafiki.
Ndugu zangu haya mambo yamekithiri.
Mda mwingine,nashindwa kumeza tonge na dagaaSio kidg mkuu, nikufahamshe Kwamb tupo wachache sn tunaotafakari mambo km haya I believe we are the chosen ones mkuu, pmj sn [emoji4][emoji106]