Walemavu wa macho 10 waliofanya mambo makubwa

Walemavu wa macho 10 waliofanya mambo makubwa

Wee bitosi
Bitosi kingelesa yenyewe huwesi we bitosii,kwa wasungu nalilia kwenda wee bitosii.
Safi sana
 
haha hellen keller ndiye aliyenifurahisha
 
haha hellen keller ndiye aliyenifurahisha
Ninazo nyinfine nyingi kuhusu mambo kama haya ila tangu niiweke hii nimeona kuna mwamko mdogo wa watu kuchangia mada hivyo nimekausha kuweka zingine
 
Wee bitosi
Bitosi kingelesa yenyewe huwesi we bitosii,kwa wasungu nalilia kwenda wee bitosii.
Safi sana
Hapa sio Chit chat mkuu ongea kiintelijendia....
 
Mungu Ni Mwema Wakati Wote
Kila Alichoumba Mungu Tazama Ni Chema Sana
 
Bado nafuatilia uzi huu hadi umtaje na Hayati Mzee Moris Nyunyusa
 
Kama hawaoni wanatembeaje? au waneelekezwa?
Kuhusu kutembea wanatembea vizuri tu kwa kuongozw na fimbo maalumu ila kumbuka ulemavu wao ni wa macho sio miguu....

Kuhusu kuelekezwa ni rahisi tu maana ubongo wao unafanya kazi kana kawaida ila wanaandika kwa kutumia nukta nundu
 
Mkuu sijui hukunielewa mimi namanisha wanawezaje kujua hapa jni mahala fulani, nii njia, hii sio nia, hapa ni ghorofani, hili ni gitaa n.k ndicho nilichouliza hapa.
 
Mkuu sijui hukunielewa mimi namanisha wanawezaje kujua hapa jni mahala fulani, nii njia, hii sio nia, hapa ni ghorofani, hili ni gitaa n.k ndicho nilichouliza hapa.
Huwa wanakariri mkuu
Mfano wanamtambua mtu fulani kwa kukariri sauti yake pindi akipngea
Pia kwa kukuga/kupaoasa vitu
 
Alikua anapiga ngoma kumi kwa mpigo... Mdundo wa radio tanzania taarifa ya habari kapiga yeye.. .

Mzee Moris
Shukrani mkuu kwa kunijuza
Nimemfuatilia na kugundua kweli mzee alikuwa anapiga ngoma balaa
IMG_20180724_174701.jpeg
IMG_20180724_174552.jpeg
 
Attachments

  • IMG_20180724_174635.jpeg
    IMG_20180724_174635.jpeg
    31.7 KB · Views: 36
Alifabya jambo gani kubwa la kukumbukwa au kuishangaza dunia ?
Alishangaza nchi yake tu ila wananchi wa nchi ile hawajui kuitangazia dunia kabisa hadi leo nchi yake haijulikani sana duniani. Na bado hatajwi
 
Mkuu Bitoz nadhani sasa umeamini kuwa hatujui kushangilia vipaji vya watu kama hawa ili dunia iwatambue.
Mkuu Waafrika hatujitangazi
Pia andiko likiandikwa na Wazingu usitegemee kuwakuta Waafrika

Ila huyo Mzee Nyunyusa hapo juu inaonekana hadi kwenye stamp aliwekwa
 
hongera botoz
hata hivo umemsahau yule mfaransa Braille(nahisi nmekosea jina). yeye ndie aliegundua yalee maandishi ya vipofu,
alipofuka akiwa mtoto ,

pia nafikili dada helen ni kiboko yao,she suposed to be at # 1.. afu huyu bro namba 2,, fikilia kalibia wote ni waandishi na walikuwa wanatumia maandishi ya huyu bro
......... ila big up ....nimeipenda
 
Back
Top Bottom