Walemavu wa macho 10 waliofanya mambo makubwa

Walemavu wa macho 10 waliofanya mambo makubwa

Kuna kipofu mmoja kwenye serikali ya JPM sijui ni naibu eaziri wa sheria
Kuna mtu anamfahamu ??? Naombeni kujuzwa
Mimisojawahi kumsikia wala kumwona.....kuna jambo lolote kubwa amewahi kufanya ?
 
Naona ukiwa kipofu kazi rahis ni hyo ya kuimba mziki tu hamna kipofu mcheza mpira au basketball hata mmoja[emoji851]
Kuna watu Tanzania (sio walemavu) lakini wamefanya mambo makubwa kweli kweli! Pamoja na yote hayo, hata Mbosso anafahamika zaidi kuliko hao watu! Michael Jackson anafahamika zaidi duniani kuliko mgunduzi wa umeme, gari, ndege, treni, roketi na matakataka yote unayoyajua wewe yanayohitaji big brain.

I hope umefahamu namaanisha nini!
 
3/Ray Charles
542f261d5ed9d312bc35a48727533225.jpg
3bf8f03a22f027415e73ac236d1fb697.jpg
419352c01926d9d4bb9b14a10596b188.jpg

Alizaliwa mwaka 1930 na kufariki dunia mwaka 2004 akiwa na umri wa miaka 73
Huyu alikuwa ni mwanamuziki mahiri wa nyimbo za injili,Jazz na Pop alikuwa pia na uwezo mkubwa wa kuandika nyimbo
Jamaa licha ya kuwa kipofu ila alikuwa ni bishoo wa kutupwa ujanani kuanzia nywele ,mapigo ya pamba hadi miwani nyeusi alichagua tu za kibishoo
Pia alikuwa ni mpenda totoz sliyepitiliza
Kaimba nyimbo kibao kama vile;
Seven Spanish Angels
Georgia On My Mind
I Can't Stop Loving You
Hit The Road ,Jack

Seven Spanish Angels

Bwana mkubwa Jamie Foxx ameigiza kuhusu huyu jamaa asee,
 
Back
Top Bottom