hahaha always done
JF-Expert Member
- Jun 11, 2013
- 1,397
- 2,367
botoz nilimaanisha bitoz,so sorry,typing error, afu button ya editing hainitii,
Shukrani kwa mawazo mazuri mkuuhongera botoz
hata hivo umemsahau yule mfaransa Braille(nahisi nmekosea jina). yeye ndie aliegundua yalee maandishi ya vipofu,
alipofuka akiwa mtoto ,
pia nafikili dada helen ni kiboko yao,she suposed to be at # 1.. afu huyu bro namba 2,, fikilia kalibia wote ni waandishi na walikuwa wanatumia maandishi ya huyu bro
......... ila big up ....nimeipenda
hongera botoz
hata hivo umemsahau yule mfaransa Braille(nahisi nmekosea jina). yeye ndie aliegundua yalee maandishi ya vipofu,
alipofuka akiwa mtoto ,
pia nafikili dada helen ni kiboko yao,she suposed to be at # 1.. afu huyu bro namba 2,, fikilia kalibia wote ni waandishi na walikuwa wanatumia maandishi ya huyu bro
......... ila big up ....nimeipenda
Usijali mkuu mimi mwenyewe sikumjua kablab:IMG_20180725_180307.jpeg
kwa kunuweka jamaa roho yangu imesuuzika mno,namkubari sana Braille
Sikuwahi kujua hii, asante mkuu6/Jose Feliciano
![]()
![]()
![]()
Alizaliwa Septemba 10 mwaka 1945
Huyu ni msanii kutoka Puerto Rico
Ni mwimbaji na mtunzi/mwandika nyimbo mwenyenye mafanikio makubwa nchini humo na duniani kwa ujumla
Wimbo wake wa Feliz Navidad unakimbiza duniani kwa ujumla kila unapofika msimu wa sikukuu ya Christmass
Jamaa anaimba kwa kutumia lugha za Kilatini na Kiingereza hivyo kufanikiwa kuliteka soko la muziki kila pembe ya dunia
Nyimbo zake nyingine ni kama vile :
Su Hija Me Gusta
Light My Fire
Sikuwahi kushtuka hata kidogoKwahiyo siku zoteulikuwa unasikiliza kuangalia wimbo wa Feliz Navidad bila kumshtukia
We tunajua umeenda English Medium School, shule za Wabenzi mpaka School Bus, kwa hiyo si ajabu ukiwa na mwalimu kama huyo...hahahaha..Niamemkumbuka mwalimu wangu wa GS,alikuwa smart,intelligent,English ya kimarekani kabisa hakuna ze ze Kiranga huyu alikuwa shule yetu ile akikufundisha kipanga kama mie sina haja ya kurudia kusoma tena.
Mkuu Kiranga umewahi kuanzisha thread yoyote hapa Jf haswa Jamii Intelligence ?We tunajua umeenda English Medium School, shule za Wabenzi mpaka School Bus, kwa hiyo si ajabu ukiwa na mwalimu kama huyo...hahahaha..
Mkuu Kiranga umewahi kuanzisha thread yoyote hapa Jf haswa Jamii Intelligence ?
Napenda sana maarifa ubayoyatoa jukwaani ila sijawahi kukutana na thread yako
Nimekuelewa vema mkuuChache sana.
Huwa naanzisha subthread ndani ya thread. Which some people find abhorrent because it destroy structure, but they just lack intelligence and imagination to see and appreciate connections.
Nikianzisha thread mpya anga la juu la dunia ya JF linaweza kupata moto kutokana na milipuko ya ki nuclear inayoweza kukosa wa kuzuia chain reaction.
Pia, inaweza kuonekana String Theory.
Kama juzi nimeingia katika thread moja nikapost historia ya Mama mmoja alikuwa waziri wa maendeleo ya nchi za nje wa Uingereza, mama akiitwa Clare Short. Mama alichachamaa akaibalasa serikali ya Uingereza kwa kuruhusu mikataba mibovu katibya BAE na serikali ya Tanzania, mpaka akatoka uwaziri kwa kuwa na msimamo wa kuipinga serikali yake ilipofanya mabaya.
That woman is a profile in coirage. What we need in leadership.
That post was worth a thread in itself.
But hardly anyone noticed.
The post was an open-ed Clare Short wrote in a British paper.
I am not sure that sort of thing is a good number of people's cup of tea.