Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

Kwa wanaopenda picha na videos kuna hii mirrorless camera ya Xiaomi inaitwa Yi m1 inatoa picha kali na vdeo za 4k zenye quality sana mimi naitumia so nimeona niwashirikishe tu na nyie watumiaje wa Xiaomi wenzangu
IMG_20190311_193433.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani ndani waweke pawa benk halafu waandike ni puzzle toy?
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png

Sent using Jamii Forums mobile app
Karibia sheria zote za anga zimewekwa baada ya kutokea ajali: mwaka 2010 ndege ya Boeing 747 ya mizigo ya shirika la UPS ilibeba shehena takribani 400kg za lithium batteries kwa sababu ya power banks ika catch moto ikiwa angani na ku crash Dubai UAE; baadae ilipita sheria ya kulimit ubebaji wa lithium batteries angani kwa abiria na mizigo.

Kuhusu ku customize jina la item kaa ukijua hizi item zikifika kwenye air freight center zinakuwa scanned na x-rays scanner, kwahiyo kinajulikana kilichopo ndani ni nini.
Hii sheria pia inakataza kusafirisha vifaa vyenye lithium battery mf: simu, flash ligh, etc kwenye package moja, ni lazima viwe separated.
inamana wao hawajui mashirika ya posta? au hao.seller hawajui hizo sheria zilizowekwa kuliko kulipia kitu daily refund na kutiana hasara za forex sasa si wasiuze tena yaan kiufupi waondoshe power bank sokoni maana hazitumwi
 
Tatizo la zimu za Xiaom
1. Nyingi zao hazina FM radio
2. Zinatumia Nano sim Card.... ambapo ni usumbufu kwa kupunguza lain ya simu, maana muda mwingine inaweza kuitaji kubadili simu hapo ndio kimbembe, maana Nano simu Card ni Ndogo zaidi sana.
3. Hazina Google play store.
4. Binafsi sijazipenda design yake upande wa nyuma.

Naona techno ipo vizuri kuliko hizi vitu.

Sent from my GT-N7000 using Tapatalk
 
Oooh! Okay
 
lazima wewe ni kijijini
 
1. Ni ipi uliyotumia ikawa haina FM Radio?
2. Kuhusu Nano card ndio technology ya kisasa ya SIM card. Hata simu nyingi za tecno zinatumia nano SIM card mf: Tecno Camon 11, Camon 11 Pro, etc
3. Global Version zote zina Google Play Service, hata kama ni Chinese version ipo njia ya ku install.
4. Ni ipi ambayo haujapenda design yake upande wa nyuma? Maana zipo series nyingi na model nyingi.
Do not hesitate to ask,...
 
Hahaha mkuu unachekesha...... Xiaomi simu kali sana.Jaribu kuzitumia uone.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo la zimu za Xiaom
1. Nyingi zao hazina FM radio
2. Zinatumia Nano sim Card.... ambapo ni usumbufu kwa kupunguza lain ya simu, maana muda mwingine inaweza kuitaji kubadili simu hapo ndio kimbembe, maana Nano simu Card ni Ndogo zaidi sana.
3. Hazina Google play store.
4. Binafsi sijazipenda design yake upande wa nyuma.

Naona techno ipo vizuri kuliko hizi vitu.

Sent from my GT-N7000 using Tapatalk
Hakika wewe ni mvivu sana kujiongeza

Sim nyingi za sasa hazina fm radio,lakini zipo app za fm radio

Nano simcard ndio technology ya sasa,mawe yote saiz yanatoka na nano sim card..tena tunaelekea mweny simcardless sasa sjui utafanyaje

Kuhusu google play ,global version zote zina playstore sijui umekwama wapi

Kuhusu design mbona kuna seriz tofaut zina design nzur tu..ww unataka design ipi?

Tatizo lako unatumia galaxy note ya 2011 ndiomana hutak nano sim card.

Kama hutak kubadilika mkuu utabak kweny hiyo note ya 2011.

Sent from my SM-G920P using Tapatalk
 
1. Ni ipi uliyotumia ikawa haina FM Radio?
2. Kuhusu Nano card ndio technology ya kisasa ya SIM card. Hata simu nyingi za tecno zinatumia nano SIM card mf: Tecno Camon 11, Camon 11 Pro, etc
3. Global Version zote zina Google Play Service, hata kama ni Chinese version ipo njia ya ku install.
4. Ni ipi ambayo haujapenda design yake upande wa nyuma? Maana zipo series nyingi na model nyingi.
Do not hesitate to ask,...
Redmi note 6
Screenshots_2019-03-17-19-01-41.png

Screenshots_2019-03-17-19-01-18.png

Redmi note 6
 
1. Ni ipi uliyotumia ikawa haina FM Radio?
2. Kuhusu Nano card ndio technology ya kisasa ya SIM card. Hata simu nyingi za tecno zinatumia nano SIM card mf: Tecno Camon 11, Camon 11 Pro, etc
3. Global Version zote zina Google Play Service, hata kama ni Chinese version ipo njia ya ku install.
4. Ni ipi ambayo haujapenda design yake upande wa nyuma? Maana zipo series nyingi na model nyingi.
Do not hesitate to ask,...
Redmi note 6
View attachment 1047786

View attachment 1047787

Sawa boss,
 
Tatizo la zimu za Xiaom
1. Nyingi zao hazina FM radio
2. Zinatumia Nano sim Card.... ambapo ni usumbufu kwa kupunguza lain ya simu, maana muda mwingine inaweza kuitaji kubadili simu hapo ndio kimbembe, maana Nano simu Card ni Ndogo zaidi sana.
3. Hazina Google play store.
4. Binafsi sijazipenda design yake upande wa nyuma.

Naona techno ipo vizuri kuliko hizi vitu.

Sent from my GT-N7000 using Tapatalk
Dhambi kubwa xiaomi uiweke kundi moja na Tecno😂😂😅
Hahaha sasa yangu mbona inayo na ni note 6 iko hivi hizo ni chinese version ila global zina playstore boss na hata hizo chinese unaweza weka playstore nimetoka muda si mrefu kuuliza hapo juu nikaelekezwa na nimefanikiwa kuweka playstore kwenye chinese version na mzigo upo kama kawaida.
 
Back
Top Bottom