Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

HahahhahahahMkuu note 6pro au?kama ndiyo vipi ukaaji wa chaji Kwa matumizi ya wastani?

Sent using Jamii Forums mobile app
Utakuwa unaweka moto usiku tu yaani haitoisha moto kiufupi utaweka moto ili ifike tu 100% boss it means utakuwa unacharge mida ya saa 8 usiku au saa 10 huku ikiwa ina charge si chini ya 30% inategemea ratiba zako unaamka na mizunguko yako inaanza mda gani
 
huwa kikawaida inakuwepo store inayokuja na hizo xiaomi za china, ukiingia store andika tu google unaipata.

alternative unaidownload hapa

Google Installer_2.0.apk

hakikisha una mb za kutosha kama 500 hivi then run hio app kwenye xiaomi yako itaeka app zote muhimu za google.
Mkuu kwa samsung yangu s5 ambayo haina utanisaidia vp asee maana naona galaxy store only .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ya Korea Mr. Mobile

Nitafutie betri moja wapo kati ya hizi mkuu
Ndio mkuu yello masai ww unatumia ipi? Ya Marekani au Korea?
51pZ-E3ehWL._AC_SY200_.jpeg
61R6D6Z3pmL._AC_SL1500_.jpeg
 
Hizo nakushauri tafuta hapa hapa TZ zipo nyingi tu! Tembelea kwa mafundi simu.
Ndugu hivi Inaweza ikatokea ukalipia simu ya xiaomi kwenye Store ya FANTANCY TECHNOLOGY lakini hadi siku 10 zinapita seller hajafanya shipping, kama jibu ndio
je ni kwanini hutokea hivyo, suruhisho ni nini?
Asante
IMG-20190315-WA0001.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndugu hivi Inaweza ikatokea ukalipia simu ya xiaomi kwenye Store ya FANTANCY TECHNOLOGY lakini hadi siku 10 zinapita seller hajafanya shipping, kama jibu ndio
je ni kwanini hutokea hivyo, suruhisho ni nini?
Asante View attachment 1049602

Sent using Jamii Forums mobile app
ndio ikiwa out of stock baadae anatuma ikifika anakutumia order yako wasiliana nae anajibu anakuelekeza fresh
 
Back
Top Bottom