Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

Najaribu kuangalia store inayouza huawei products Aliexpress, lakini wanatuma kwa expedited shipping only. Inapelekea bidhaa kuwa na bei juu!
Mkuu ulikua unatafuta store wanayouza Mi Power bank,leo nimeibamba moja

TZS 35,120.08 | 10000mAh Xiaomi Mi Power Bank 2 External Battery Bank 15W Quick Charge Powerbank 10000 PLM09ZM with Dual USB Output for Phone
US $14.99 |10000mAh Xiaomi Mi Power Bank 2 External Battery Bank 15W Quick Charge Powerbank 10000 PLM09ZM with Dual USB Output for Phone-in Power Bank from Cellphones & Telecommunications on Aliexpress.com | Alibaba Group

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Shukrani, ila kwenye warehouse ya China hana mzigo.
 
Wanaziweza ila hadi wanaziweza unaweza ukawa umepata simu yako? Ila chanzo cha kupoteza simu kabsa ni kuweka screen lock.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu na mm nilitaka kusema hivi. Simu ikiwa na lock za kutosha ndio chanzo cha kuipoteza kabisa. Sababu atakae ipata ata tafuta kila njia njia kutoa hizo lock, ila ikiwa haina lock kuna asilimia kadhaa za mtumiaji ku pumbaa hivyo kuitumia simu bila wasi wasi zaidi atatoa tu line. Japo sio njia salama 100%.

SangaweJr
 
Sawasawa

Ni mara buku uilock simu yako aisee, wadau sikuhizi hawana akili kabsa wataomba hela kwa kila contact yako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
D1XEuxpU8AAvjwc.jpeg
 
Ntafanyaje nipata simu ya xiaomi, bajeti yangu ni 350....(Global version)

Sent from my GT-N7000 using Tapatalk
 
Back
Top Bottom