Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

Tatizo la zimu za Xiaom
1. Nyingi zao hazina FM radio
2. Zinatumia Nano sim Card.... ambapo ni usumbufu kwa kupunguza lain ya simu, maana muda mwingine inaweza kuitaji kubadili simu hapo ndio kimbembe, maana Nano simu Card ni Ndogo zaidi sana.
3. Hazina Google play store.
4. Binafsi sijazipenda design yake upande wa nyuma.

Naona techno ipo vizuri kuliko hizi vitu.

Sent from my GT-N7000 using Tapatalk
Aisee noma sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahhahahah
Dhambi kubwa xiaomi uiweke kundi moja na Tecno

Hahaha sasa yangu mbona inayo na ni note 6 iko hivi hizo ni chinese version ila global zina playstore boss na hata hizo chinese unaweza weka playstore nimetoka muda si mrefu kuuliza hapo juu nikaelekezwa na nimefanikiwa kuweka playstore kwenye chinese version na mzigo upo kama kawaida.
Mkuu note 6pro au?kama ndiyo vipi ukaaji wa chaji Kwa matumizi ya wastani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Halafu hizo attachment ulizoweka mbona si description za Redmi Note 6 Pro? Au umechanganya na Redmi 6? Mm ninayo Redmi 6a lakin ina FM Radio, na ina Google Play Services.
IMAG0599.jpeg
 
Ngozi nyeusi mnajifanya mnaenda na fashion sana.. kwan kusema simu haona built in radio app ni kosa???

Unajifanya husikii redio, basi wewe ni mjinga (neno mjinga sio tusi)

Mkuu Jitu jeusi kaa ukijua Xiaomi zote zina FM Radio isipokuwa zile Chinese Version ile App ya FM Radio inakuwa haijawa installed kwenye hiyo Chinese ROM. Endelea kufanya utafiti utaelewa
 
Mkuu Jitu jeusi kaa ukijua Xiaomi zote zina FM Radio isipokuwa zile Chinese Version ile App ya FM Radio inakuwa haijawa installed kwenye hiyo Chinese ROM. Endelea kufanya utafiti utaelewa
Sawa bro, ngoja nifanye mpango sasahiv ni nunue from aliexpress mida hii.

Nataka kuchukua redmi note 6A, nikiagiza now ntapata baada ya muda gani?
 
Mkuu Jitu jeusi kaa ukijua Xiaomi zote zina FM Radio isipokuwa zile Chinese Version ile App ya FM Radio inakuwa haijawa installed kwenye hiyo Chinese ROM. Endelea kufanya utafiti utaelewa
hata chinese ipo unakuja kwenye tools kuna kuwa na app nyingi usipokuwa makini unaweza usiione. angalia yangu chinese
Screenshot_2019-03-17-23-18-04-426_com.miui.home.jpeg
 
40 Reactions
Reply
Back
Top Bottom