Hii umeagiza mwenyew au kwa kumtumia Mwl RTC?Agiza redmi 4x 2gb ram16gb rom 280000/=
Hii umeagiza mwenyew au kwa kumtumia Mwl RTC?Agiza redmi 4x 2gb ram16gb rom 280000/=
Mcheki Mwl RTCNawezaje kupata hizo simu hapa Tanzania bila ya kufanya manunuzi kwa online shoping km amazon, alibaba. ama e-bay ?
Bei gani hiyo mkubwa?Xiaomi wanatisha mkuu.
Xiaomi gani toleo ganiSijawahi kujuta toka niwe nayo
Redmi note 4x... Nikichaji inakaa na chaji more than 24 hours with data on all the time.. Pia mi ninatumia sana simu almost all the time ipo mkononi.. So Kwa mwenye matumizi ya kawaida inaweza kuwa akatumia muda mrefu zaidi bila kuchajiXiaomi gani toleo gani
Vipi kuhusu ukaaji wake wa chaji?
Nimeagiza mwenyewe.Hii umeagiza mwenyew au kwa kumtumia Mwl RTC?
Ndio inawezekanaNawezaje kupata hizo simu hapa Tanzania bila ya kufanya manunuzi kwa online shoping km amazon, alibaba. ama e-bay ?
Ipi?Bei gani hiyo mkubwa?
Hatuwezi kuifananisha ila inabidi ifananishwe hivyo coz IPhone iko strict sana Haitoi Uhuru wakati Xiaomi haina hiyo limit.Xiaomi ni simu nzuri sana, ila huwezi fananisha na Brand ya iPhone..kwanini msifanananishe na huawei/lenovo/meizu/honor..acheni kujifariji hahahaha
Hazilingani ila zinafanana ndio msingi wa kuzifananisha.Xiaomi ni simu nzuri sana, ila huwezi fananisha na Brand ya iPhone..kwanini msifanananishe na huawei/lenovo/meizu/honor..acheni kujifariji hahahaha
Kujifariji Inaruhusiwa.Hazilingani ila zinafanana ndio msingi wa kuzifananisha.
Hazifanani na hizo nyingine ndio maana hazijafananishwa nazo.ushike moja siku moja utaelewa kwanini watu wameamua kuzifananisha na si swala la kujifariji.na kuna watu hawanunui iphone sababu tu ya mipaka yake na si vinginevyo.
Sio kujifariji mkuu, matoleo ya high-end ya MI unaweza kuyafananisha kabisa na hizo simu nyingine kama Samsung, Iphone. Kama MI Mix 2 ni flagships killer na unakila sababu ya kuicompare na hizo flagship nyingine kwa kila kitu, lakini MI inabaki kuwa nafuu alwaysKujifariji Inaruhusiwa.
mi 5x na A1 ni simu moja ambayo inauzwa masoko tofauti. A1 imebase masoko ya magharibi nchi kama ulaya na software yake ni stock android wakati 5x sana ni masoko ya Asia na inatumia Miui software ya xiaomi. software zote mbili ni android tofauti ni muonekano na features tu.Bei ya Mi 5x,note 4x ya 32gb na 64gb,mi A1
Ipi kati ya hizo iko safi kwenye camera,battery na sehemu nyingine ni vizuri ukiniwekea kimpangilio au hata kama kuna option nyingine ni sawa naomba mwenye kufahamu anipe huo muongozo na bei inaendaje kwenye masoko ya nje kwa bajeti ya 350k mpaka 400k.Ahsanteh
Chief-Mkwawa msauziy na wengine Tafadhari
Hiyo A1 yenye 4gb ram 32gb rom ipo around 450000-500000.Ahsanteh Chief-Mkwawa ko A1 inaweza rate kiasi gani mkuu nijipime tena?
Na note 4x mkuu ya 3gb RAM na 32gb ROMHiyo A1 yenye 4gb ram 32gb rom ipo around 450000-500000.
Point yako nishaipata, UNAFUU.na siwezi bisha kuhusu hilo suala.Sio kujifariji mkuu, matoleo ya high-end ya MI unaweza kuyafananisha kabisa na hizo simu nyingine kama Samsung, Iphone. Kama MI Mix 2 ni flagships killer na unakila sababu ya kuicompare na hizo flagship nyingine kwa kila kitu, lakini MI inabaki kuwa nafuu always
Redmi Note 4x 3gb RAM 32gb ROM inaanzia 350000-400000.Na note 4x mkuu ya 3gb RAM na 32gb ROM