Wale wenye bahati zao waliowahi kutongozwa na wadada mje hapa

Oohoooo!
Mimi Wakati wa Makuzi yangu nilishatongozwa na Wadada kadhaa, wawili ilikua live mtaani, mchana kweupe Dada anafosi apate majibu yake.....

Mwisho nilikuja kutongozwa na Jini Mahaba, bila kujua, nikamwelewa coz alikua Mrembo haswa, Mwarabu sio Mwarabu, Shombe shombe kama anakataa, alikua Mkali Sana.... Matatizo ndo yakaanzia hapo (ilichukua miaka 10 kuja kujua kuwa Kumbe yule Dada alikua Jini Mahaba ambaye nilimkubalia mwenyewe akiwa katika umbile la Binadamu, Ila cha moto nilikiona)

Asilimia kubwa ya Wadada wanaoowataka Wakaka sio Binadamu, na hawavutiwi na Vitu vinavyoonekana Kwa Macho, wanavutiwa na Vitu vilivyo ndani vinavyoonekana kwenye Ulimwengu wa Kiroho tu....
 
Ishanitokea zaidi ya Mara moja, kuna hii nikiwa form 1 tukapiga stori na wenzangu Mara kuna Dada Mmoja aliniita. Kuna maswali akawa ananiuliza, alipomaliza nikiwa Nataka kuondoka kuna mwenzake ananiuliza tena jina langu(Alikua f2).
Nilipomtajia akaliandika mkononi huku wenzake wakimtania anataka jina la nn.
Ilipofika mda Wa kutoka ilipofika mda Wa kutoka Alikua nyuma yangu kwa mbali akaniita na kunipungia mkono.
Baada ya hapo siku chache mbele nilikuta na nae nikiwa naelekea darasani akaniambia baadae nimwone kuna kitu anataka kuzungumza na mm. Nilimjibu Sawa ila sikwenda maana Kipindi hicho sikua hata na mambo ya mapenz ( ila kalikua mazuri sana bado nalikumbuka)
 
Wengi wanajirahisisha hivyo huwa ni Vimeo!

Mwanamke alokuzwa kimaadili hawezi jigonga na kuji expose kwa Mwanaume

Hata ikitokea kupenda agharabu atajikaza mpaka itakapokuwa vema kwa mwanaume kuanza kujieleza.

Imeandikwa;

“Enyi binti Sayuni msiyachokoze mapenzi mpaka yatakapoona vyema yenyewe “

Sasa mwanamke anavaa 3/4 uchi anaji expose na kutega wanaume “ invitation to treat” ni ishara ya Umalaya
 
Ni dhana potofu kutokewa na msichana kwamba ni malaya.

Wasichana wanapenda pia. Tatizo wanaume wengi wagumu kuelewa lugha za mademu.

Mtu anajihidisha kukuongelesha kila siku pale ofisini, kupitita ana smile na kukuangalia hadi kisogo cha mwisho unapptezea.

Anakuamini hata kitu kidogo anakuuliza, unachukulia poa.. wakati kuna wanaume wanamkimbiza demu huyo huyo na anawatolea nje.



Sent using Jamii Forums mobile app
Umeongea pointi sana, wanaume wengi wameshawahi kutongozwa na wanawake bila kujua.

Mimi kuna limama limtu mzima, mtu mzima kama mimi lakini, alikuwa kila akiniona ananitabasamia, mwishowe nikashtukia. Jana tu nimelikula limefurahi kinoma. Hata hela halitaki.
 
Kuna sehemu nilikua napiga mzigo kitambo kidogo,akaja demu (Mfanyakazi mpya) mmoja yupo vizuri kimuonekano,basi vidume vikawa vinapishana kila mtu kujaribu bahati yake,

Mimi nikawa busy na kazi yangu tu wala sikua na habari nae,cha ajabu akaja kunitaka mimi niliyekua sina habari nae na kuwatosa waliokua wakimuhangaikia! yaani alijileta mwenyewe kama vile Mbuzi ambavyo hua anajipeleka kwa Chatu.
Ulimla?🙄 au ulimkataa??
 
Wengi wanajirahisisha hivyo huwa ni Vimeo!
Hapana mkuu, wengine ni decent kabisa. Mimi nakumbuka mwaka 2014 kuna mdada alinitongoza na nilimkuta bikra kabisa. Na alikuwa mcha Mungu sana.
Na hii ndiyo sababu wanawake wengi wanaogopa kutongoza kwa kuhofia kuonekana malaya.
 
Kuna wanawake wanapiga vocal nyieeeee...
Kuna wadada wanajua kutupia nyavu haki wallah..

Niliwahi kupigwa vocal si la mchezo Hadi ikabidi baadae nijikague kwa kugusa mkuyenge Kama upo au nimebadilika jinsia ghafla maana sio kwa zile bembeleza zile ukimjibu "sawa Haina noma " anaona Kama umekataa hivi
Hawa viumbe wakikuamlia hatari sanaa aisee
 
Back
Top Bottom