Wale waombaji wa Vyuo mwaka 2018/2019 karibuni hapa

Wale waombaji wa Vyuo mwaka 2018/2019 karibuni hapa

Hvi clinical medicine inahusika na nn zaidi?
 
rrrrrrrrrrrrr.png
rrrrrrrrrrrrr.png
rrrrrrrrrrrrr.png
rrrrrrrrrrrrr.png
Ukitaka Kufanya Application Baada ya Kujaza Personal Details Sehem Ya kuchagua Instituion /Category zpo mbili tu na wanasema choose your Priority wamewek kada mbili afya na elimu, pia Ukifungua Nacte Ile Sehem Ya Category Zimeorodheshwa Mbili tu Available Category Sas Shda / Tatzo Kuna kada mbili pili ukiangalia Deadline Ni Tarehe hyohyo sas jee? hawa wa IT,nakada zngine Bado hawajafungua Application zao nacte au kunatatzo gani??

 
Hizo unaomba chuo direct. Ispokuwa kozi za afya na ualimu kwa vyuo vya Serikali ndio unaomba online kupitia Nacte.
 
Karibuni vijana wote mnaotaka kuomba vyuo mwaka huu.
Kuwa free kuuliza chochote kile kuhusu fani unayotaka kusomea wapo wajuzi wengi humo JF wa kila fani.
Hizo chini ni Guidebook zitakazokuongoza wewe kujuwa chuo kilichoruhusiwa kuchukua wanafunzi mwaka huu na fani zinazopatikana.View attachment 804849View attachment 804850
nimelipa ada ya application , bahati mbaya nikalipa 20 badala ya 10,000. hata msg ya kuthibitisha kuwa nimelipa elfu 20 haiji acha ya 10. Nifanyeje? Msaada please
 
Kwenye maombi ya chuo online kupitia nacte,kuna kipengele cha malipo kinasema "pay 10,000 per instution" kwa huduma ya mtandao wa simu.Hapo nimeshindwa kujua,hiyo elf 10 unalipa kila unapotaka kuchagua chuo kingine katika machaguo yako? Na unalipa vp wakati ukilipa kwa njia ya simu,ile transaction code unayotumia mwanzo ndio inakutanbulisha nacte na kukupa usajili, kwa hiyo nitakuwa nachukua usajili kila muda kwa kufanya transaction kwenye mitandao ya simu?
ndiyo maana ya per institution, kila ukiomba chuo unalipa.
 
Jamani kwa haya matokeo huyu mtoto anaweza kupata chuo cha serikali akasoma degree hata kwa kujilipia mwenyewe?

History~D
Geography~D
English~E
Division 3 point 13
 
Jamani kwa haya matokeo huyu mtoto anaweza kupata chuo cha serikali akasoma degree hata kwa kujilipia mwenyewe?

History~D
Geography~D
English~E
Division 3 point 13
Anapata mkuu
 
Mkuu naomba ufafanuzi hapo kwny equivalent qualification nina Dogo matokeo yake ni chemistry-f biology-e geography-e ila form four masomo yote alipata c je anaweza akapata chuo kwa ngazi ya digrii?
Hayo ni matokeo ya A.Level au haya Chem-f, Bio-e na Geo-e.?????
 
Kwangu mimi napenda kuwashauri wadogo zangu kwa walio soma HKL, KLF au HGL wa apply UDOM wasome Bachelor degree in Chinese kwasababu hii course now ina soko sana sema tatizo watu wengi sana hawalijui hili wanao soma hii course mwaka wa pili wapo wawili tu na mwaka wa kwanza wapo 12 tu but hii course mkimaliza uwakika wa kupata kazi kwenye makumpuni ya kichina ni 99.9% kama mnavyo jua sasa hivi China ndio muwekezaji mkuu hapa Tanzania kwahiyo vijana tutumieni hii fursa vizuri

Pia ukifika mwaka wa pili ukiwa unajindaa kwenda mwaka wa tatu hua wanatoa scholarship ya kwenda china kusoma kwa mwaka mmoja hii pia ni fursa kwako kuweza kupata exposure.

NB mi pia ni mwana funzi nasoma BA in Chinese hapa UDOM so karibuni kwa maswali 0764532080
 
Samahanini kwa kudandia ila jamani mwenzenu ninashinda siku ya pili Leo naangaika kutafuta msaada humu sijapata wa kujitosheleza

Tatizo langu lipo hivi nimechaguliwa kidato cha tano bagamoyo secondary mwaka huu ila kombi ya HKL na Kubadili mwaka huu TAMISEMI wamepandisha vigezo kwa masomo ya sayansi mpaka uwe na two ya point 20 na Mimi Nina 21

So nimeamua kupeleka nyumbani wazo LA chuo ila wanasema pesa nyingi
Je kuna uwezekano ukabadili badala ya kwenda shule ukafutwa na kupelekwa chuo na TAMISEMI wenyewe maana wanasema ukienda kuapply bila kupangwa na serikali pesa inakuwa nyingi nahitaji msaada wenu siku za kuripoti shule zimekaribia bado sina cha kufanya

Pole sana mdogo wangu ila ni vema uende A.level maana sio lazima kusoma combination uliyo pangiwa unaweza kubadili usome kitu kingine na kama point zako hazijafika usisumbuke kuomba comb nyingine utaweza lazimisha alafu huku mbele ikawa ni taabu tena cha msingi wewe soma tuu utafanikiwa na kuhusu kuanza certificate na kwenda diploma naona kama utatumia miaka mingi sana au kama muda si shida kwako sawa anza ila kakazane na a.level utafanikiwa usihofu kuhusu combinationa maana kusoma PCB au nini sio kwamba ukimaliza ndio utaenda medical school direct la hasha wapo wanaosoma hata PCM lakn chuo wanaenda facult nyingine na ni kawaida kwa kijana alie maliza science o.level kuwaza PCM AU PCB NA CBG akienda a.level na wengi wanalazimisha na mwishoni hawafaulu vizuri na kwa wanaomaliza form six nao ni hivyo hivyo mtu akimaliza PCB kichwa na mawazo yake yapo MUHAS na kama ni PCM anwaza engineering UDSM na hii itapelekea wengi kukosa hata chuo cha msingi tambua ya kwamba nchi yetu bado sana kwenye swala la kuandaa mtoto kutoka chini mpaka juu wewe kasome tuu utafanikiwa usihofu.
Shukrani
 
Kwangu mimi napenda kuwashauri wadogo zangu kwa walio soma HKL, KLF au HGL wa apply UDOM wasome Bachelor degree in Chinese kwasababu hii course now ina soko sana sema tatizo watu wengi sana hawalijui hili wanao soma hii course mwaka wa pili wapo wawili tu na mwaka wa kwanza wapo 12 tu but hii course mkimaliza uwakika wa kupata kazi kwenye makumpuni ya kichina ni 99.9% kama mnavyo jua sasa hivi China ndio muwekezaji mkuu hapa Tanzania kwahiyo vijana tutumieni hii fursa vizuri

Pia ukifika mwaka wa pili ukiwa unajindaa kwenda mwaka wa tatu hua wanatoa scholarship ya kwenda china kusoma kwa mwaka mmoja hii pia ni fursa kwako kuweza kupata exposure.

NB mi pia ni mwana funzi nasoma BA in Chinese hapa UDOM so karibuni kwa maswali 0764532080
[HASHTAG]#NAKAZIAHAPA[/HASHTAG]
 
Naomba kuuliza wakubwa .mimi wakati naingia certificate miaka ile tuliingia na D3 minimum qualification na nimesoma hadi diploma nina gpa ya 3.7 .Vipi siwezi kuendelea na degree kwaajili ya D3 ? Na kama ndio nifanyaje ili niweze kuendelea? Msaada
 
JAMANI NAULIZA HIZI KOZI ZINGINE TOFAUTI NA AFYA NA ELIMU ,ONLINE APPLICATION INAKUWAJE MWAKA HUU MBONA OPTION YAO KATIKA CATEGORIES HAIPO ?? MSAADA WAKUU NMESHNDWA KUTUMA
 
nimesahau kuambatanisha cheti cha o level wakati natuma maombi sua je ni muhimu kuambatanisha kama ni ndio je naweza kurudia kutuma mara ya pili au ukituma basi
 
Back
Top Bottom