remedy50
JF-Expert Member
- Apr 14, 2014
- 675
- 289
- Thread starter
- #21
Ukisoma muongozo wa nacte unasema chuo kimoja elfu 10. So ukitak kuomb chuo chengne itabidi ulipe tena.Kwenye maombi ya chuo online kupitia nacte,kuna kipengele cha malipo kinasema "pay 10,000 per instution" kwa huduma ya mtandao wa simu.Hapo nimeshindwa kujua,hiyo elf 10 unalipa kila unapotaka kuchagua chuo kingine katika machaguo yako? Na unalipa vp wakati ukilipa kwa njia ya simu,ile transaction code unayotumia mwanzo ndio inakutanbulisha nacte na kukupa usajili, kwa hiyo nitakuwa nachukua usajili kila muda kwa kufanya transaction kwenye mitandao ya simu?