remedy50
JF-Expert Member
- Apr 14, 2014
- 675
- 289
Karibuni vijana wote mnaotaka kuomba vyuo mwaka huu.
Kuwa free kuuliza chochote kile kuhusu fani unayotaka kusomea wapo wajuzi wengi humo JF wa kila fani.
Hizo chini ni Guidebook zitakazokuongoza wewe kujuwa chuo kilichoruhusiwa kuchukua wanafunzi mwaka huu na fani zinazopatikana.View attachment 804849View attachment Admission_Guidebook_2018_Form_Six_Applicants_07072018-ilovepdf-compressed.pdf