Watafute kwa simu wanaoshuhulika na mfumo wa uombaji chuo huko UDOM watakupa maelezo mazuri.Mimi niliapply Udom mwaka Jana nikakosa, mwaka huu kila nikijiregister upya wanasema namba na email already registered, nikiweka na kureset password, inanambia imekubali ila nikisign in inaandika password yng IPO wrong, naomba msaada
Duh na kila chuo unalipia application fee? Au hamna hyo feeDirect chuoni.
[emoji15] [emoji15] duh bora kipind kile tunaapply tcu, anyway nashukur ndugu kwa muda wakoKila chuo unalipa malipo yake ya uombaji.
Mimi pia nlipatwa na tatizo Ilo ukiwapigia watakusaidia Mi wamenisaiiaMimi niliapply Udom mwaka Jana nikakosa, mwaka huu kila nikijiregister upya wanasema namba na email already registered, nikiweka na kureset password, inanambia imekubali ila nikisign in inaandika password yng IPO wrong, naomba msaada
ThnxWatafute kwa simu wanaoshuhulika na mfumo wa uombaji chuo huko UDOM watakupa maelezo mazuri.
Nisaidie namba zaoMimi pia nlipatwa na tatizo Ilo ukiwapigia watakusaidia Mi wamenisaiia
Samahanini kwa kudandia ila jamani mwenzenu ninashinda siku ya pili Leo naangaika kutafuta msaada humu sijapata wa kujitosheleza
Tatizo langu lipo hivi nimechaguliwa kidato cha tano bagamoyo secondary mwaka huu ila kombi ya HKL na Kubadili mwaka huu TAMISEMI wamepandisha vigezo kwa masomo ya sayansi mpaka uwe na two ya point 20 na Mimi Nina 21
So nimeamua kupeleka nyumbani wazo LA chuo ila wanasema pesa nyingi
Je kuna uwezekano ukabadili badala ya kwenda shule ukafutwa na kupelekwa chuo na TAMISEMI wenyewe maana wanasema ukienda kuapply bila kupangwa na serikali pesa inakuwa nyingi nahitaji msaada wenu siku za kuripoti shule zimekaribia bado sina cha kufanya