[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]Hao wamezoa na usikute jamaa kapewa mpaka vitu adimu, wewe unakwenda kistaha staha jamaa anapiga kata funua we ukifika unaonekana fala tu.
Usirudie tena mwanangu ngozi loose zipo kibao kwanini ujitafutie kifiro bila sababu yoyote?Hapana, ila ilikuwa imebaki ddk 1 na sekunde km 27 hv nifumaniwe, fasta machale yakanicheza
Alikuwa jirani yangu so alikuwa anashoboka mwenyewUsirudie tena mwanangu ngozi loose zipo kibao kwanini ujitafutie kifiro bila sababu yoyote?
[emoji15] [emoji15] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji621] [emoji298] kila mla vya wenzakeMhhhh kuna watu mnaujasiri kwa kweli
Kama ulijua ni mke wangu na ukatembea naee...yanii sitakupigaa nakutia ukilemaa kabisaa kama sio kifoo..!! Etii kisa mwanamke.!??? Tamaa zako pelekaa huko ilaa sio urafiki wa kisee umle mke wanguNi aibu na udhaifu mkubwa kumpiga mwanaume mwenzio hivi na kuendelea kuishi na malaya wako ndani.