Wale wanaokula wake za watu, piteni hapa mpate funzo

Wale wanaokula wake za watu, piteni hapa mpate funzo

Hahaha mkuu funguka tafadhari, kuna kakitu unataka kusema ila bado unakibana bana ivi
Hahaha!, hakuna ninacho jua kuhusu hili tukio sema nimekua zamani kidogo, koswakoswa na masimulizi mengi toka kwa masela kibao kwa matukio aina hii, [emoji16][emoji16][emoji16]
 
4 TIMES ONLY!!!
Sasa alitaka mara ngapi ili aone kipigo hicho kilimstahili?

Hajui hata kusifia harufu nzuri tu ya mke wa mtu ni kosa!!
 
Sasa kwa mtindo huo kama mwanamke anakubali mwenyewe na hakubakwa utaadhibu watu wangapi??? Watu inabidi wabadikike, kila mwanamke bila kujali kaolewa au laa atatongozwa, kazi kwake kukubali au kukataa, sasa mambo ya kuadhibu watu hivi wakati mwanamke kakubali mwenyewe na viuno kakata is unfair.

Its upon mwanamke kukubali au kukataa, ila kuadhibu wanaume si kutatua tatizo maana tatizo ni yule anaekubali, "Akili za kuambiwa changanya na zako"
 
Hahaha!, hakuna ninacho jua kuhusu hili tukio sema nimekua zamani kidogo, koswakoswa na masimulizi mengi toka kwa masela kibao kwa matukio aina hii, [emoji16][emoji16][emoji16]
Nasikia ata kama ni baunsa unakua mdogo kama piriton
 
Back
Top Bottom