Ingekua mimi ndo mwenye mke nisingemgusa huyo jamaa.
Ningejiuliza maswali haya muhimu kabla ya kufanya uamuzi,
1.Je mke tunaependana Kwa dhati kwanini anisaliti, kwanini amkubali mwanaume mwingine??
2.Je, upendo uliopoa una sifa zipi?? Huyu mwanamke bado ananihitaji maishani au kanichoka??
3.Je,upendo hulazimishwa? Nikimpiga mke au niliemfumania nae ntafaidika na Nini?? Kipigo kitambadili mke anipende??
Nikishapata majibu nitashkuru mungu kuijua siri kwamba sipendwi tena mana hata maandiko yanasema ndoa huweza kuvunjwa Kwa dhambi ya uasherati japokua wanang'ang'ania eti hadi kifo kitutenganishe Mi sitakua tayari kusubiri ukimwi ututenganishe hapo talaka kubwa ka gazeti la "Daily newz " itahusika tu ila sitagusa nyama wala mfupa wa mtu.