Wale wanaokula wake za watu, piteni hapa mpate funzo

Wale wanaokula wake za watu, piteni hapa mpate funzo

Avatar

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2012
Posts
11,128
Reaction score
11,938
E46D95D6-F13D-4800-8C7D-96F8711176F6.jpeg

he doesnt deserve hiyo huruma alifanyiwa
 
Mke naye atahitaji ka kibano kidogo, ni kuaibishana.
Kweli mazee, dawa ni kutafuta demu mkali zaidi yake alfu unakula bata nae ukimfahamisha ajue
,
Ila kiukweli jamaa wakati anakula kisago alijua Israel siku hiyo anamchukua, sema jamaa lilijua limeua baada ya msela kuvunga kadedi, likamuacha [emoji16][emoji16][emoji16],Kwan hicho kipondo lazima mkojo ulipita [emoji3][emoji3][emoji3]
 
Huyo hana tofauti na Nabii Tito hivi alitaka amgongee rafiki yaki yake mara ngapi ili amuadhibu? Tena huyo rafikia yake mpole sana ingekuwa mimi ningemhasi kabisa.
Hahah
Sawa mkuu, vipi na mwanamke wako ungemfanyaje?
 
Kweli mazee, dawa ni kutafuta demu mkali zaidi yake alfu unakula bata nae ukimfahamisha ajue
,
Ila kiukweli jamaa wakati anakula kisago alijua Israel siku hiyo anamchukua, sema jamaa lilijua limeua baada ya msela kuvunga kadedi, likamuacha [emoji16][emoji16][emoji16],Kwan hicho kipondo lazima mkojo ulipita [emoji3][emoji3][emoji3]
Mkuu una hii full story nini?
Maana inaonesha unaitambua
 
Back
Top Bottom