Wale wanaokula wake za watu, piteni hapa mpate funzo

Wale wanaokula wake za watu, piteni hapa mpate funzo

Mkuu hicho ni kipaji cha watu Huyo hakikuwa kipaji chake.
E bwana we. Ivi kuna mtu anaweza kula wake za watu bila kudakwa!!
Nahisi huyu 40 zake zilifika angalia hapo 4x10
 
4 TIMES ONLY!!!
Sasa alitaka mara ngapi ili aone kipigo hicho kilimstahili?

Hajui hata kusifia harufu nzuri tu ya mke wa mtu ni kosa!!
Mmh mkuu!! Sio kutamani!?
 
haahaaaa watu hawana huruma 4 times only mmemtenda hivi je ingekuwa 10 times si mngemuua mwee mweeee
Yaani anaona ameonewa kabisa, kwasababu he did 4 times only
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
 
Sasa kwa mtindo huo kama mwanamke anakubali mwenyewe na hakubakwa utaadhibu watu wangapi??? Watu inabidi wabadikike, kila mwanamke bila kujali kaolewa au laa atatongozwa, kazi kwake kukubali au kukataa, sasa mambo ya kuadhibu watu hivi wakati mwanamke kakubali mwenyewe na viuno kakata is unfair.

Its upon mwanamke kukubali au kukataa, ila kuadhibu wanaume si kutatua tatizo maana tatizo ni yule anaekubali, "Akili za kuambiwa changanya na zako"
Nakubaliana nawewe, shida hapo ni huyo mwanamke, lkn yataka ukomavu na ujasiri haswaa kumwacha kidume atembee... ukiangalia labda hilo tendo alilifanya katika nyumba yako kabisa ulioijenga wewe na kitanda au kochi ulilotengeneza mwenyewe
 
Mi namuacha... Unajua tafsiri ya usaliti ni kwamba aliye nae hamtoshi... Kwahiyo akinisaliti najua simtoshelezi na muacha aende
Mkuu una hekima sana asee japo wanadai mtu aliye tokea kuwa na hekima duniani ni mfalme sele
 
Back
Top Bottom