Wale mliooa wanawake wanaofanya kazi

Wale mliooa wanawake wanaofanya kazi

No, even in gender issues I can side with any gender depending on the topic but what I have come to realise is that many African men are not fair at all.

But i am yet to see you siding with male gender in this platform.. does that mean there’s nothing wrong with your fellow women, rather it’s men’s side that always bears the burden of evils?
 
Mkeo anafanya kazi,,halafu hujui hela inaishia wapi,,wakulaumiwa si mwanamke,,ni wewe mwanaume acha ubwege,,. Ngoja usikie kajenga kimyakimya tena sio Nyumba yenu,,yake

Hiki unachokisema nimewahi kukishuudia kwa macho yangu...asee!! isikie tu kwa watu inauma vibaya mno!

Halafu tukisema mitazamo yetu humu kuhusiana na hawa wanawake wenye elimu na kazi tunaonekana waajabu kweli..manina
 
Wewe unayetaka hata mke asitafute mfanyakazi wa ndani kazi zote afanye mwenyewe ndo siyo mbinafsi?
Mfanyakazi wa ndani hio ni uamuzi wake, aweke au asiweke wala sijakataa, ila kitendo cha kulilia nimfanyie majukumu yake ndio sikitaki.
 
Mwanaume lazima ukae nafasi yako kama mwanaume, uone kama kutakua na vitu kama hivo, kuna mambo mtahukumiwa nyie, mwanaume unamuogopa mkeo mpaka, kama mke mchango wake lazima uonekane kwenye familia
Hiki unachokisema nimewahi kukishuudia kwa macho yangu...asee!! isikie tu kwa watu inauma vibaya mno!

Halafu tukisema mitazamo yetu humu kuhusiana na hawa wanawake wenye elimu na kazi tunaonekana waajabu kweli..manina
 
unaweza kumpata anaejielewa na viceversa, mi wangu ikifika muda wa kupokea mshahara ANASEMA NINA MADENI SANA MWEZI HUU
 
Mwanaume lazima ukae nafasi yako kama mwanaume, uone kama kutakua na vitu kama hivo, kuna mambo mtahukumiwa nyie, mwanaume unamuogopa mkeo mpaka, kama mke mchango wake lazima uonekane kwenye familia
Wake wengine wepesi kwenda kwa waganga kuwazoletesha waume wao hili wao wawe kila kitu mwisho wa siku mambo yanapoharibika mnasema mme walikuwa anamuogopa mke kumbe alitegenezwa artificially.
 
unaweza kumpata anaejielewa na viceversa, mi wangu ikifika muda wa kupokea mshahara ANASEMA NINA MADENI SANA MWEZI HUU
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂,,mi bora niseme nimeibiwa hela,,madeni ndo itakua nimejiharibia,
 
unaweza kumpata anaejielewa na viceversa, mi wangu ikifika muda wa kupokea mshahara ANASEMA NINA MADENI SANA MWEZI HUU
Kumbe kuna wengine wa hivi, nilizani wa kwangu tu. Tutafika nao tu maana hiyo ni sehemu ya misalaba ya hapa duniani.
 
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂,,mi bora niseme nimeibiwa hela,,madeni ndo itakua nimejiharibia,
Kuibiwa kila mwisho wa mwezi haiwezekani lakini kukopa kila mwezi inaweza kueleweka hata kama ni uongo maana kuitafutia pesa tatizo la kusingizia siyo kazi mara ooh nilikopa nikampa mama aliniomba laki nne na blablablah nyingine nyingi.
 
Mfanyakazi wa ndani hio ni uamuzi wake, aweke au asiweke wala sijakataa, ila kitendo cha kulilia nimfanyie majukumu yake ndio sikitaki.
Siyo hasiweke, anaweka kisha mwisho wa mwezi anakwambia baba flani hatuja mlipa dada wa kazi mshahara wake. Na usipotoa wengine hawawalipi kabisa mpaka wadada wengine kwa hasira wanahamishia machungu yao kwa watoto, hawawapi huduma inavyositahili. Basi inafika hatua mzee baba anatoa tu mshahara wa dada for kids sake.
 
Inamnaa
Kuibiwa kila mwisho wa mwezi haiwezekani lakini kukopa kila mwezi inaweza kueleweka hata kama ni uongo maana kuitafutia pesa tatizo la kusingizia siyo kazi mara ooh nilikopa nikampa mama aliniomba laki nne na blablablah nyingine nyingi.
Inamana anakopa bila kushirikisha Mume? Hiyo ndoa au ?
 
Inamnaa

Inamana anakopa bila kushirikisha Mume? Hiyo ndoa au ?
Ndiyo anakopa bila hata kukwambia. Kuna mmama mwingine aliiba hadi hati ya nyumba akaenda kukopea bank bila mme kujua. Mme alikuja kushtuka nyumba inataka kupigwa bei bibie kashindwa kulipa deni. Baba wa watu tulikuwa naye kazini na kwenye saccos ya kazini akaandika barua na kuelezea scenario zima ikabidi saccos wamkopeshe hela nyingi zaidi ya hile inayoruhusiwa ili akakomboe nyumba yake. Wanawake wengine watata wewe hacha tu.
 
[emoji23][emoji23][emoji23] ukiona manyoya..

We mwanaume mjinga sana.. Kuna wanaume wanampeleka saloon kwa niaba yako..
Tabutupu,

Siyo kwamba nasifia jamaa kuwa hausiki na kumrembesha mke wake. Lakini kwa upande wako hivi kweli huwezi kabisa kujirembesha kwa kutumia hela yako mpaka mmeo hachangie hata kama unamzidi kipato? Kama unampenda mmeo kweli, utakubali kuhacha hela zako bank ukarembeshwe na jamaa wa pembeni kwa gharama hile kubwa ya kumzawadia nonino yako.
 
Mtumishi kama utakuwa ulinisoma tangu kwenye comment yangu ya awali nadhani ungekuwa umenielewa ni wapi nasimamia na kwanini nimemjibu hivyo huyo jamaa hapo!

Nakubaliana na wewe kabisa mwanamke anayechakalika sawa na wewe ni wajibu wake kuchangia mkate mezani, lakini sasa hicho kisiwe kigezo kikuu cha wewe kutafuta mkee eti awe na kazi hili msaidiane.. binafsi mimi siafikiani na hilo bali niko kinyume na hapo!

Kilichonikera kwenye hiyo comment ya jamaa niliye maquote ni kuniambia eti kumkataa mwanamke wa aina hii ni insecurity na udhaifu wakati ukiiangalia kwa mapana hiyo kauli yake yeye ndio dhaifu maana anaonesha wazi hawezi kutumia akili yake mwrnyewe kuendesha familia mpaka aunganishe na ya mke wake ndio maendeleo yataonekana!! si uzwazwa huo wa kiwango cha mwisho.
Upo clear kabisa mwanaume lazima ujiamini hata kama umeoa mwanamke tajiri au msomi no lazima uwepo wako ww katika familia uupe kipaombele timiza majukumu yako wewe kama wewe hapo utaona mwenyewe tu anajiseti kwa kununua baadhi ya vitu kama vyombo nakadharika. Ila akishajua tu bila yeye mambo hayaendi utajuta na hutakuwa na amani hadi mwisho wako Wa maisha
 
Hahahah wana tabu hawa wanawake acha tu 🤣🤣🤣
Siyo hasiweke, anaweka kisha mwisho wa mwezi anakwambia baba flani hatuja mlipa dada wa kazi mshahara wake. Na usipotoa wengine hawawalipi kabisa mpaka wadada wengine kwa hasira wanahamishia machungu yao kwa watoto, hawawapi huduma inavyositahili. Basi inafika hatua mzee baba anatoa tu mshahara wa dada for kids sake.
 
Mwanaume lazima ukae nafasi yako kama mwanaume, uone kama kutakua na vitu kama hivo, kuna mambo mtahukumiwa nyie, mwanaume unamuogopa mkeo mpaka, kama mke mchango wake lazima uonekane kwenye familia

Mwanaume kukaa kwenye nafasi yake ndio kukoje huko?
 
Back
Top Bottom