Wale mliooa wanawake wanaofanya kazi

Wale mliooa wanawake wanaofanya kazi

Sasa si anajitafutia za kwake au? Ili asikuombe za kwako!
Sijui kama mimi na wewe tunatumia definition ya familia ya aina moja. Labda ndiyo maana hatufikii muafaka. Sisi me hatukumbushii ninyi ku-cover majumu yetu bali twakumbushia mtimize wajibu wenu baada ya kuona mmekengeuka. Sasa wewe mmama nyumbani hushindi. Kazi za ndani hufanyi anafanya house girl, ukiondoka asubuhi kurudi jioni/usiku harafu unasema kazi ya kutafutia familia riziki ni ya baba. Sasa kama ni hivyo wewe mbona ushindi nyumbani? Hela unamtafutia nani huko unakokwenda Monday to Friday. Kama mke akishinda nyumbani kila siku harafu man wake akamuoji masuala ya pesa hapo huyo man atakuwa hamnazo!! Huwezi kushinda nje ya familia Monday to Friday alafu useme eti mme hasikuoji kuchangia kisa wewe unafanya kazi ya kuzaa, kazalie kwenu kama vipi!!
 
Sasa si anajitafutia za kwake au? Ili asikuombe za kwako!
Halishindwa nini kujitafutia akiwa nyumbani kwao, au akapanga nyumba akatafuta hela zake akiwa huru kabisa kwake? Kitendo cha kukubali kuolewa maana yake kuna vitu uta-share mutually na mme/familia yako uliyohamua kuianzisha.
 
huwa wanajenga kimya kimya inshort mwanamke anayefanyakazi siyo mzuri ni msiri na ukikaa naye atachuma kwako akimaliza marengo yake anasepa

Wewe hujiamini tu!!! kwenda zako!

nigga you are suffering from inferiority complex....!!

kwanza kwanini ajenge kwa siri bila kukushirikisha kama tatizo sio wewe?🤩🤩🤩🤩🤩🤩🤩🤩🤩🤩🤩🤩🤩🤩🤩🤩
 
Mie nalipenda huwa linanisisimua 😜😜😜basi ningesema kufanya mapenzi au kumake love 😉😉😉
Seconded. Hata mimi nalitumia sana tukiwa faragha na wife. Kwa watu wazima siyo tusi hili neno. Kwa watoto haliruhusiwi kutamkwa kwa sababu hawaruhusiwi kulitenda.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Mie nalipenda huwa linanisisimua [emoji12][emoji12][emoji12]basi ningesema kufanya mapenzi au kumake love [emoji6][emoji6][emoji6]
[emoji3] [emoji3] [emoji3] ,unajiskia burudani mwenyewe,linafaa litumike wakati flani maalum, siyo hivi
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Hivi unajua kuwa mke asipojitafutia pesa zake itabidi akutegemee wewe? Sasa je wewe utampa pesa bila masimango wala manyanyaso yoyote?
Halishindwa nini kujitafutia akiwa nyumbani kwao, au akapanga nyumba akatafuta hela zake akiwa huru kabisa kwake? Kitendo cha kukubali kuolewa maana yake kuna vitu uta-share mutually na mme/familia yako uliyohamua kuianzisha.
 
Jamani mimi sijaoa...nimemaliza chuo mwaka jana..huu uzi kila nikisoma napata mengi sana kuhusu Ndoa...Naomba Mungu anijalie Mke mwema tunayeweza kusaidiana.
 
Hivi unajua kuwa mke asipojitafutia pesa zake itabidi akutegemee wewe? Sasa je wewe utampa pesa bila masimango wala manyanyaso yoyote?
Be honest, hivi wanawake wote wenye ajira hawaombi pesa kwa waume zao? Some women wewe inaokana ujawajua vema. Mke anafanya kazi lakini hata nauli ya kwenda huko kazini kwake anaomba kwa mme na mwisho wa siku ndani hachangii na pesa hana. Mimi silalamiki naongelea uhalisia wa mambo yalivyo huku majumbani kwetu.
 
Lakini hata hivyo kwani kazi za nyumbani anazifanya nani?

Kazi za zipi hizo za ndani? Kama ni kulea watoto, kufua, kupika siku hizi nyie wamama wa mjini hasa mlio ajiriwa kazi hizi hamfanyi wanafanya the so called house girls. Sijui unaongelea kazi gani, maana kwa reflection yangu inaonekana hata wewe hufanyi. Zaidi kuna baadhi ya wamama siku hizi hasa wenye ajira hata hiyo kazi kubwa ya kutoa nonino zao kwa waume zao hawafanyi wanasaidiwa na hao hao house girls.
 
mnajua nyie wanaume nawashangaa sana, kwanza hamjielewi na hamjui nini maana ya ndoa. sasa unaoa mwanamke eti msaidiane maisha wakati hata kwenye kiapo ulisema utamtunza, na imeandikwa mwanaume ndo anaetegemewa na familia. hapo mwanamke kusaidia familia ni akijisikia tu lakini kila kitu wewe mwanaume lazima uwajibike hadi kwenda saloon mkeo ni wewe. ndo maana mnalalamika mnachapiwa kwasababu mmekimbia majukumu yenu. yani mm huu usenge wa kumhudumia mwanaume sitaki kabisa labda niwe nimekula pesa zake halafu akaja akaishiwa hapo nitamfikiria.
Hahahahah wazee wa vitongareee,sekenke hills of singida
 
Usitegemee mtu aanike mambo ya ndani hapa mkuu, sana watapamba story ila uhalisia wa maisha yao tunayaona huko mtaani tunapoishi pamoja, tunayoyaona kwa nje tu ni mazito sasa sijui humo ndani mwao hali ikoje.
Kupata majibu mazuri tafuta familia 3 tu za aina hiyo uliowalenga, anzisha mahusiana mazuri na wasichana wao wa kazi za ndani ndio utaupata ukweli wa maisha yao.
Huo utakuwa umbea wa hali ya juu
Maisha flani ya kiswazi kutaka kujua jiran kala nini leo
 
Jamani mimi sijaoa...nimemaliza chuo mwaka jana..huu uzi kila nikisoma napata mengi sana kuhusu Ndoa...Naomba Mungu anijalie Mke mwema tunayeweza kusaidiana.
We uzi hujauelewa,ungeuelewa ungesema unapambana ujipatie kipato halali cha kutosheleza mahitaj yako na few mkeo na watoto,na si kuomba kupata mwanamke wa kusaidiana naye majukumu
Usijekulialia jf kama wenzako wanavyolia kila leo hahahahah
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]...Asante mkuu kwa kunielewesha
 
Back
Top Bottom