young nigger tz
Member
- Jun 25, 2019
- 27
- 17
Ngoj nipate mrejesho kamil
[emoji30] [emoji30] ,neno kavu mnooKukutomba vizuri ndiyo nini? [emoji12][emoji12][emoji12]
Ukimpata mwelewa maisha yanakuwa matamu sana kwakuwa mnasaidiana kila kitu
Mrejesho.........Badala ya kwenda mbele ndo narudi nyuma!
Huyu mwenzangu ye kaajiriwa na serikali na mwisho wa mwezi sio haba. Tunakaa mikoa tofauti, Usiku wa kuamkia leo nikampa maneno matamtam sana ili nianze kuandaa mazingira ya kumuomba aniongezee laki na 10 ili niagizie vifaranga vipya kwenye mradi wangu maana bado haujaanza kutoa matunda. Nilipomwambia tu akaanza kuniambia ooh hela sina na wakati najua juzi kapokea mshahara.
Akiwa katikati ya mwezi hali mbaya huwa nafanya kila niwezalo nimtumie hata 50 ya matumizi kwa wiki ila yeye laki tu karuka viunzi.
Hapa najiona kama nimeruka stage kwenye maisha yangu, kutokana na kuoana na yeye now nashindwa hata kujilipua kwenda mbali kutafuta maisha, nakaa karibu nae ili niwajibike kama mwanaume kwake na kwa mtoto wetu lakini mwenzangu akipata hela anajiangalia sana yeye tu.
Sioni faida ya hii ndoa soon naongeza idadi ya single mothers mtaani.
Emoji06,mnajua nyie wanaume nawashangaa sana, kwanza hamjielewi na hamjui nini maana ya ndoa. sasa unaoa mwanamke eti msaidiane maisha wakati hata kwenye kiapo ulisema utamtunza, na imeandikwa mwanaume ndo anaetegemewa na familia. hapo mwanamke kusaidia familia ni akijisikia tu lakini kila kitu wewe mwanaume lazima uwajibike hadi kwenda saloon mkeo ni wewe. ndo maana mnalalamika mnachapiwa kwasababu mmekimbia majukumu yenu. yani mm huu usenge wa kumhudumia mwanaume sitaki kabisa labda niwe nimekula pesa zake halafu akaja akaishiwa hapo nitamfikiria.
Liko hivyo hivyo hata kwenye kamusi ya kiswahili nimeangalia.[emoji30] [emoji30] ,neno kavu mnoo
Unaelewa unachokiongelea au unahisi unakijua?Na mnavyo taka haki sawa je?
Hilo la kuzaa liko nje ya uwezo wetu husikufuru maana kazi ya Mungu haina makosa. Mungu alipanga hivyo, siyo kwa binadamu tu hata sexual reproducing animals wengine wote aliyepewa jukumu la kuzaa ni female. Male kazi yake unaijua nazani. Hayo mengine wanaume tunaweza kufanya ikibidi ila kimazoea kuna kazi za ndani zingine tofauti na hizi ulizotaja huwa tunazifanya on daily basis.Unaelewa unachokiongelea au unahisi unakijua?
Why likija suala la pesa nyie ndio mnahubiri haki sawa na sio kwenye kuzaa,kulea,kufua,kupika,kuosha vyombo,kudeki nk??
Huo nao ni aina ya uchawi. Hivi na kuyajua maisha ya watu ili iweje? Maisha yako/yangu bado kizungumkuti si bora ni pambane tu na hayo hayo ya kwangu kuliko kupoteza muda kuchunguza ya jirani.Usitegemee mtu aanike mambo ya ndani hapa mkuu, sana watapamba story ila uhalisia wa maisha yao tunayaona huko mtaani tunapoishi pamoja, tunayoyaona kwa nje tu ni mazito sasa sijui humo ndani mwao hali ikoje.
Kupata majibu mazuri tafuta familia 3 tu za aina hiyo uliowalenga, anzisha mahusiana mazuri na wasichana wao wa kazi za ndani ndio utaupata ukweli wa maisha yao.
[emoji23][emoji23][emoji2][emoji2] kaaaazi kweli kweli,ngoja mimi niendelee na kazi zangu maana maisha yanaenda,wangu wa kunizalia na uhasibu wake acha akae nyumbani aendelee na miradi midogo midogo ya nyumbani na kulea watoto.Ni mwaka wa nne huu na bado sijutii. Tunasaidiana kwa mengi, kuanzia matumizi ya nyumbani mpaka kwenye investments. Na hata bahati mbaya nikitangulia mbele za haki, Niko na confidence of more than 60% kwamba mtoto (watoto) wangu are in good hands.
Basi kama hilo hamliwezi, rudi kasome ni haki gani tunazodai. Ila kama wewe unataka haki sawa katika hilo basi weka wazi kwa mwenza wako mapemaaa ajue anaoa mume wa aina gani.Hilo la kuzaa liko nje ya uwezo wetu husikufuru maana kazi ya Mungu haina makosa. Mungu alipanga hivyo, siyo kwa binadamu tu hata sexual reproducing animals wengine wote aliyepewa jukumu la kuzaa ni female. Male kazi yake unaijua nazani. Hayo mengine wanaume tunaweza kufanya ikibidi ila kimazoea kuna kazi za ndani zingine tofauti na hizi ulizotaja huwa tunazifanya on daily basis.
Wapi nimeandiaka kazi mkuu? Najua kua ni stareheChakula ya bed nayo kazi kumbe? Mi nilijua starehe tu ile ya kufurahisha mwili na akili.
Kwa mwanamke aliyechoka hiyo ni kazi ndiyoChakula ya bed nayo kazi kumbe? Mi nilijua starehe tu ile ya kufurahisha mwili na akili.
Haya madam ila mimi sijadai haki sawa. Haki sawa huwa mnadai ninyi wenyewe. Sisi huwa tunawakumbushakumbusha tu ili msisahau kabisa wajibu wenu katika familia zenu. Hilo tu madam, naona umekasirika kama serikali ya hawamu ya tano ya tz.Basi kama hilo hamliwezi, rudi kasome ni haki gani tunazodai. Ila kama wewe unataka haki sawa katika hilo basi weka wazi kwa mwenza wako mapemaaa ajue anaoa mume wa aina gani.
Why huwa mnakumbusha kwenye majukumu yenu tu?Haya madam ila mimi sijadai haki sawa. Haki sawa huwa mnadai ninyi wenyewe. Sisi huwa tunawakumbushakumbusha tu ili msisahau kabisa wajibu wenu katika familia zenu. Hilo tu madam, naona umekasirika kama serikali ya hawamu ya tano ya tz.
[emoji30] [emoji30] ,neno kavu mnoo
Sijui kama mimi na wewe tunatumia definition ya familia ya aina moja. Labda ndiyo maana hatufikii muafaka. Sisi me hatukumbushii ninyi ku-cover majumu yetu bali twakumbushia mtimize wajibu wenu baada ya kuona mmekengeuka. Sasa wewe mmama nyumbani hushindi. Kazi za ndani hufanyi anafanya house girl, ukiondoka asubuhi kurudi jioni/usiku harafu unasema kazi ya kutafutia familia riziki ni ya baba. Sasa kama ni hivyo wewe mbona ushindi nyumbani? Hela unamtafutia nani huko unakokwenda Monday to Friday. Kama mke akishinda nyumbani kila siku harafu man wake akamuoji masuala ya pesa hapo huyo man atakuwa hamnazo!! Huwezi kushinda nje ya familia Monday to Friday alafu useme eti mme hasikuoji kuchangia kisa wewe unafanya kazi ya kuzaa, kazalie kwenu kama vipi!!Why huwa mnakumbusha kwenye majukumu yenu tu?
Haukumbushi, bali mnadai haki sawa kwa mgongo wa kukumbushia. Anzeni harakati tutawawezesha.
Serikali ya awamu ya tano ina hasira na mini?