Ni wew au uliambiwa umenukuu!?aka 50/50,mimi mwanaume hanisumbui, nina hela yangu na kazi yangu hanibabaishi, hasiniumize kichwa nitalea mwenyewe, naweza lisha ukoo wenu mzima,mwanaume gani ,kwanza una nini......... sijui ninininini tukiwezeshwa tunaweza.....
Utakuwa na maisha salama sana,popoma za kuta nne zinasumbua ukiwa mwepesi akili inavurugika mwisho udhihirishe tafiti za watu bure.Ndio maana mimi namsubiri Aisha yupo form 2 najua hatoboi form 2 akili za shule hana na amesema akifeli harudii
Namuweka ndani
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Sio mpaka yakukute ila unaweza kujifunza kwa waliyo yakuta na ndio maana utafiti umekuja na majibu na sio kwamba hao watafiti yame wakuta.Ni wew au uliambiw umenukuu!?
Hahaha nmecheka kinomaNdio maana mimi namsubiri Aisha yupo form 2 najua hatoboi form 2 akili za shule hana na amesema akifeli harudii
Namuweka ndani
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Ni kweli kabisa mkuuUtakuwa na maisha salama sana,popoma za kuta nne zinasumbua ukiwa mwepesi akili inavurugika mwisho udhihirishe tafiti za watu bure.
Wawe specific wanaongelea "Black women". nimesoma hizi tafiti nyingi sana , wanawake wa jamii ya watu weusi ndio wanaoongoza kuzaa nje ya wedlock.View attachment 1975189
Huku bongo mnasema wanaume waoga,hawajiamini sijui mfumo dume.
Haya utafiti wa huko ulaya.
aka 50/50,mimi mwanaume hanisumbui, nina hela yangu na kazi yangu hanibabaishi, hasiniumize kichwa nitalea mwenyewe, naweza lisha ukoo wenu mzima,mwanaume gani ,kwanza una nini......... sijui ninininini tukiwezeshwa tunaweza.....
mselelekoNdio maana mimi namsubiri Aisha yupo form 2 najua hatoboi form 2 akili za shule hana na amesema akifeli harudii
Namuweka ndani
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app