Wakuu yamenikuta

Ukitaka kuoa single mother hakikisha mumewe kafariki na inabidi akakuonyeshe kaburi alilozikwa, nilikua nae mmoja na nilikua napiga tu kisela ila sikuwa nikimzingatia for future.
 
Mkuu, kwani wewe leo ni besidei yako?Subiri ikifika Besidei yako ndo utajua.Kwa sasa we endelea kumpenda.

Kwanza kabisa fahamu kwamba Kama Mwanamke akikuambia tu kwamba ametelekezwa na Mwanaume basi Ujue kwamba huyo mwanamke na mzigo.

Kwenye mahusiano kuna ama kuwa pamoja ama kuachana kwamba hakuna mawasiliano wala mahusiano hakunaga kitu kam kutelekezwa.

Ushauri wangu.Fanya na wewe umtelekeze tu kama mwenzako huenda na wewe ukapostiwa
 
Sawa
 
Kuna singo mama mmoja nilikuwa nae serious kwenye mahusiano. Alisema baba wa mtoto alimtelekeza, nikatoa visent vyangu kutunza yeye na mtoto bila hiana, kiroho safi...
Inatakiwa upigwe mawe hadi kufa. Pumbavu huhudhurii vikao vyetu kenge wewe
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…