Wakuu yamenikuta

Acha uzwazwa be a real Man. Tumia mbinu ya kimafia nenda dukani na kirikuu kakombe mzigo wote pamoja na makorokoro. Umfungulie kiduka wakati aliemzalisha hakufanya hivyo. Upunguani huo!! Na hapo lijamaa linabonda sana
Asante kwa ushauri
 
Nawapa pole sana wanaume walioko kwenye mahusiano na single mothers ambao wazazi wenza wapo hai.
Ukiamua kuwa naye, jaribu tu kupotezea baadhi ya mambo. Ukweli ni kwamba, wengi wao hukumbushia.
Na huo ndio udhaifu wa wanawake wengi!
 
Acha uzwazwa be a real Man. Tumia mbinu ya kimafia nenda dukani na kirikuu kakombe mzigo wote pamoja na makorokoro. Umfungulie kiduka wakati aliemzalisha hakufanya hivyo. Upunguani huo!! Na hapo lijamaa linabonda sana
πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ™Œ
 
Vipi kuhusu duka nilomfungulia nimfukuze au?
Yes mkuu.
Kama una access nalo timua aende kwa amani. Na kama ulitoa ahadi ya kumupa na ukagundua anakufanya boya unaweza kumdai gharama zote kisheria.

Kuna watu humu wanaweza kusema kuwa kumuwish baba wa mtoto birthday ni normal thing. Hapana ni beyond the parameters. Alipaswa asipokee kwako matunzo ya mtoto ambaye anasema alisuswa lakini kama anayapokea maana yake mmepangwa foleni wewe, baba mtoto na jamaa wengine usiowajua
 
[emoji120]
 
Single mother wao wanapiga kimya kimya.

Vijana sasa, ni vilio tu. Mara kuanzishwa umoja, kukumbushana hatari za single mothers, kuanzisha umoja wa kupambana na single mothers, sijui ng'o za kuwalinda vijana na single mothers.
 
....suala la kuwa na mahusiano na single mothers tulishalitolea maelekezo mara nyingi sana tatizo tunayojadili kwenye vikao huwa mnayaacha hapo hapo na kujiona nyie ni ma-mastr peace of mind kwa hiyo acha yakukute.!
πŸ”¨πŸ”¨πŸ”¨πŸ”¨πŸ”¨
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…