Nicas Mtei
JF-Expert Member
- Dec 21, 2010
- 11,556
- 7,085
- Thread starter
- #21
Hahaahaaa huyu utamuua kule...kwa kumsaidia mpeleke Namtumbo
Kwa nini afe?
Hahaahaaa huyu utamuua kule...kwa kumsaidia mpeleke Namtumbo
Mkuu nashukuru kwa uteuzi, japokuwa sijaelewa kama ni takrima kutokana na ule mkopo wa 5M tuliokukopesha JE SACCOS au vp!
Kwa nini afe?
Hahhaaaaa PJ umekuwa mfano wa kuigwa....
Nadhani mkuu anateua kwa awamu, wilaya kibao hajaweka watu, ila mimi kaninong,oneza kuwa kaniteua ukuu wa mkoa mmoja maarufu sanaKwani Ludewa kuna mtu?
Naenda mahakamani kuzuia uteuzi huu, haujazingatia uwepo wa viongozi wa kuu wa jf!
Usinikumbushe maneno ya Abas Kandolo in response towards maamuzi ya mkuu wa wilaya ya Mbozi
Nadhani mkuu anateua kwa awamu, wilaya kibao hajaweka watu, ila mimi kaninong,oneza kuwa kaniteua ukuu wa mkoa mmoja maarufu sana