Nicas Mtei
JF-Expert Member
- Dec 21, 2010
- 11,556
- 7,085
Dena Amsi nilikumiss kweli my wife wanguHalafu wewe nakuona tu halafu unajidai kunimiss
Haya kaka. Kwel fitna unaziweza. Inawezekana we unafanya kazi tiefu efu. Maana wale jamaa kwa fitina wapo juu
Dena Amsi nilikumiss kweli my wife wangu
Mzima wewe
Achana na maneno ya Nicas Mtei hapo
Mimi na wewe ni kama uji na mgonjwa
Halafu wewe nakuona tu halafu unajidai kunimiss
Haya kaka. Kwel fitna unaziweza. Inawezekana we unafanya kazi tiefu efu. Maana wale jamaa kwa fitina wapo juu
Umeanza kuwa muongo lini??? Hili swala la Sweetlady sijalipatia maelezo ya kina ujue
Dena Amsi nilikumiss kweli my wife wangu
Mzima wewe
Achana na maneno ya Nicas Mtei hapo
Mimi na wewe ni kama uji na mgonjwa
mzee wa fitina ni Erickb52 bana ana fitina mpaka ana kijiwe chake kakiita fitina camp
ukichanganya na Arushaone mambo yote mwake
SL huyo bibi kizee ndo awe mwenzangu????
Talaka inakungoja pale kwa Mwanasheria wangu hakuna la ziada
Ulitakiwa ulete dogodogo kama Yummy sasa umeingia kwa huyu mama si atakubemenda???
Aka baki naye sikutaki tena
wacha kutingisha kiberiti bana
tyaani ninavyokupenda kama uji na mgonjwa walah ujiniacha najinyonga kwa big g
wife Dena Amsi haya ni ya ndani bana wacha kuwafurahisha akina Nicas Mtei na Baba V na Vin Diesel na Bishanga na Erickb52
Ha ha ha ha umekuwa mpole eeehhhh wewe chezea mimi acha kabisa