Wakuu wa Wilaya vivuli wa Serikali ya JF.

Nicas Mtei popote ulipo kunywa ndovu 6 kwa bili yangu...hamna uteuzi ulionibariki kama huu...wakazi wa kinondoni mkae mkao wa kula...sijui nianze kuboresha kipi...foleni?...uchache wa bar?...vituo vya madada poa?...uuzaji wa viwanja?...nina mengi ya kuwafanyia ndugu zangu wa kino.

Ukiboronga nakuwajibisha.
 
Last edited by a moderator:
Nadhani mkuu anateua kwa awamu, wilaya kibao hajaweka watu, ila mimi kaninong,oneza kuwa kaniteua ukuu wa mkoa mmoja maarufu sana

Mwanyasi huyu jamaa anatakiwa msaidizi siunajua hatofautiani na nanii wa tz white house....
Teh hakawii kumteua konda kuwa waziri lol
Ngoja akimaliza tuangalie uteuzi wake kwa karibu
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom