kilambimkwidu
JF-Expert Member
- Jul 21, 2017
- 6,052
- 7,057
Mkuu,sisi hatuna talaka ukioa usubiri kifo!Hivi wakristo mna talaka?
Mkuu unaweza kutoa tu hamna shida,kuna wanawake pasua vichwa sana aisee.utajikuta unakufa then mwanamke unamuacha.Mkuu,sisi hatuna talaka ukioa usubiri kifo!
Unamaanisha e.mbasha yuko sawa kabisa!watoto wa Kusekwa ni wa kwake.!Mkuu,sisi hatuna talaka ukioa usubiri kifo!
Hata mkeo akiwa malaya!Mkuu,sisi hatuna talaka ukioa usubiri kifo!
Ukipata evidence timulia mbaaali kabisa.Hata mkeo akiwa malaya!
Hata ukisema hivyo haiswihi.Hiyo inahesabika ni moja tu.
Labda angesema
Nimekuacha
Nimekurudia (hii ya kwanza)
Nimekuacha
Nimekurudia(hii ya pili)
Nimekuacha wewe sio mke wangu tena(hii. Ndo ya tatu)
Lakini useme tuuu nimekuacha talaka tatu wewe sio mke wangu,hii haikubaliki aisee.
Ndo maana ya kusema labda.Hata ukisema hivyo haiswihi.
Twambie aseme vipiHata ukisema hivyo haiswihi.