Wakuu,talaka huandikwa hivi?

Mm s Muslim lakin Sizan Kama talaka huandikwa hivo Huyo jamaa hajui talaka n nn nahajui talaka inaandikwaje
 
Hiyo inahesabika ni moja tu.

Labda angesema

Nimekuacha
Nimekurudia (hii ya kwanza)

Nimekuacha
Nimekurudia(hii ya pili)

Nimekuacha wewe sio mke wangu tena(hii. Ndo ya tatu)

Lakini useme tuuu nimekuacha talaka tatu wewe sio mke wangu,hii haikubaliki aisee.
Hata ukisema hivyo haiswihi.
 
Hata ukisema hivyo haiswihi.
Ndo maana ya kusema labda.

Lakini kwa qauli ya sawa akisema hivyo inahesabika ni talaka kwa sababu kuna kuacha na kurudia na kuacha na kurudia na kuacha.

Lakini kauli tatu za kuacha pasi na kurudia hilo huesabika ni moja tena من باب التوكيد yaani ni katika mlango wa kutilia mkazo tu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom