Takwimu: Talaka Marekani zashtua

Eugen TZA

Member
Aug 7, 2023
61
98
Takwimu nchini Marekani zinaonyesha kuwa kila baada ya sekunde 13 wanandoa nchini Marekani wanapeana talaka, Ripoti zinaeleza zaidi kuwa kila baada ya dakika mbili baada ya wanandoa kula kiapo wanapeana talaka, Matukio kama hayo yameripotiwa mara tisa nchini Marekani.

Hii inamaanisha kila baada ya masaa matano ya ndoa Talaka 1,385 zinatolewa, Takwimu hizi zimewashtua wadau mbalimbali nchini humo wakijikita kufanya tafiti kugundua sababu za talaka kuongezeka nchini humo, Kila baada ya sekunde 13.2 kuna mtu anapewa talaka Marekani, talaka 277 kwa lisaa.

Tukiendelea kuchakata kimahesabu takwimu zinaonyesha talaka 6,646 kwa siku zinatolewa Marekani, talaka 46,523 kwa wiki, talaka 2,419,196 kwa mwaka,

Je? Unahisi vitu gani vinasababisha talaka kuongezeka zaidi?
 
Ndio maana wanasupport ushoga na usaganaji..

Ni mjinga pekee ataenda kinyume na mafundisho ya kiislamu.
Hata utamaduni wa kiafrika hauruhusu ushoga kwa hiyo wala siyo swala la kusema utamaduni wa kiarabu (uislamu) labda kama mtu ameamua tu kuwa mtumwa na kufagilia utamaduni wa kigeni.
 
Back
Top Bottom