Wakuu,talaka huandikwa hivi?

Wakuu,talaka huandikwa hivi?

Numbisa

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2016
Posts
348,981
Reaction score
1,252,292
IMG_20181206_173938.jpg
 
Ndio ya insta,Duh kumbe ni ubuyu. Kwan kanyau hana hela ya kununulia karatasi zuri jaman
Nilisikia sikia sikuiona hiyo talaka .nadhani aliandika haraka haraka mradi ujumbe umefika
 
Ni hivyo hivyo mkuu,kama amekupa ndiyo imeswihi ,rara mbereee huna eda.
 
tena kamfanyia ustaarabu kweli kweli... alitakiwa aandikie kwenye toilet paper
 
Hiyo inahesabika ni moja tu.

Labda angesema

Nimekuacha
Nimekurudia (hii ya kwanza)

Nimekuacha
Nimekurudia(hii ya pili)

Nimekuacha wewe sio mke wangu tena(hii. Ndo ya tatu)

Lakini useme tuuu nimekuacha talaka tatu wewe sio mke wangu,hii haikubaliki aisee.
 
Hiyo inahesabika ni moja tu.

Labda angesema

Nimekuacha
Nimekurudia (hii ya kwanza)

Nimekuacha
Nimekurudia(hii ya pili)

Nimekuacha wewe sio mke wangu tena(hii. Ndo ya tatu)

Lakini useme tuuu nimekuacha talaka tatu wewe sio mke wangu,hii haikubaliki aisee.
Bora umeandika mkuu,mijitu mingi hukurupuka KAMA HUYO
 
Duu hii talaka kiboko yaani anaandika 3 kabisa
Kweli kuna watu wanaamini talaka hutolewa hivyo?
 
Back
Top Bottom