Wakuu nisaidie Nimesahau pattern ya simu yangu

Kwa mtaalam wa smart phone anisaidie Sim aina ya Itel 1450 Nimesahau yani nimejaribu kukumbuka Nimeishiwa pozi msaada nifanyaje imenibidi niazime simu ili kuomba msaada kwa wataalam
acha wizi sio tabia nzuri kuna mambo mawili kifo kutokana na gadhabu ya umma au kuozea jela acha kabisa udokozi
 
Kwa mtaalam wa smart phone anisaidie Sim aina ya Itel 1450 Nimesahau yani nimejaribu kukumbuka Nimeishiwa pozi msaada nifanyaje imenibidi niazime simu ili kuomba msaada kwa wataalam
Kama unakumbuka gmail yako haina tabu.Jaribu hayo mapattern mara kadhaa,ikijilock utaambiwa ingiza gmail.Kazi imeisha
 
Back
Top Bottom