Nawezaje kuirudisha akaunti yangu ya Twitter pamoja na WhatsApp?

mcTobby

JF-Expert Member
Feb 16, 2018
2,991
9,332
Kuna simu nilikuwa nayo ikapotea na lain Kila kitu.

Ila baada ya kupata simu nyingine nikawa nahitaji kurudisha baadhi ya account ikiwemo ya Twitter pamoja na Whatsapp.

Kwa mfano nimejaribu kurudisha account ya Twitter kwa njia ya kuomba new password ila Kuna mahali inaniambia zile verification code zinaenda kwenye Ile namba ambayo nimeipoteza na simu kwa hiyo nimeshindwa kurudisha.

Na pia wakati nafungua account ya Twitter sikutumia email bali namba ya sim.

Naomben msaada wenu
 
Karenew line upate mpya yenye namba ili ile. Code itakuja kwako
 
Suspended account inaeza rudi? Nina ban la miaka miwili nagaagaa kuirudisha lakn naambulia patupu
Hilo sina uhakika.
Uliongea as if ukitaka kufungua account mpya code inaenda kwenye namba ambayo ilipotea.
Badilisha namba ya simu, au karenew upate chip mpya ya namba ya zamani.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom