Wakuu nisaidie Nimesahau pattern ya simu yangu

Mwanafunzi kauliza swali zuri ila mwalimu kajibu vizuri sana Dar! Jf ni zaidi ya shule za magu
 
Kama simu yako iko Data on na umejiunga kifurushi, we ikija ile msg ya pattern sema forget password thn itakupa option ya ku recover kwa kuweka email yako ya gmail na password thn itakufunguka
 
Mkuu jaribu kufata maelekezo yafuatayo :
1.Jaribu kubonyeza button zilizopo pembeni mwa simu yako zote mbili kwa pamoja (button ya kuzimia na kuwashia simu pamoja na ile button ya kuongezea sauti)
2.Baada ya kubonyeza hizo Button kwa pamoja itakuja menu yenye maandishi meengi, sasa tumia button ya kupandisha na kushushia sauti, shuka mpaka walipoandika rebuild system
3. Uiifika kwenye rebuild system bonyeza button ya Power on/off
4. Hapo Utakuwa umemaliza kila kitu subiri kidogo simu yako ijiwashe then Leta mrejesho hapa JF
Atakuwa ameiflash kwa mantiki hiyo
 
2* ashuke mpaka palipoandikwa factory reset
 
Ingiza wrong password mara kumi. From there itajifuta data na kujiflash... Then itafunguka...
 
Mkuu jaribu kufata maelekezo yafuatayo :
1.Jaribu kubonyeza button zilizopo pembeni mwa simu yako zote mbili kwa pamoja (button ya kuzimia na kuwashia simu pamoja na ile button ya kuongezea sauti)
2.Baada ya kubonyeza hizo Button kwa pamoja itakuja menu yenye maandishi meengi, sasa tumia button ya kupandisha na kushushia sauti, shuka mpaka walipoandika rebuild system
3. Uiifika kwenye rebuild system bonyeza button ya Power on/off
4. Hapo Utakuwa umemaliza kila kitu subiri kidogo simu yako ijiwashe then Leta mrejesho hapa JF
Labda ajaribu bahati yake lakini Itel nyingi huwa zinakataa Hard reset.Ajaribu..Down volume key+Up volume key+Power button then aende kwenye option achague factory reset kisha Up volume key.
 
Back
Top Bottom