Wakuu nisaidie Nimesahau pattern ya simu yangu

kesho kutwa

JF-Expert Member
Dec 7, 2016
1,627
1,785
Kwa mtaalam wa smart phone anisaidie Sim aina ya Itel 1450 Nimesahau yani nimejaribu kukumbuka Nimeishiwa pozi msaada nifanyaje imenibidi niazime simu ili kuomba msaada kwa wataalam
 
Nyoosha maelezo tu.... humu genious wengi ukijifanya kuzunguka na kujifanya umesahau pattern ambayo unaitumia tokea ununue simu.... utakua unatukosea...

Inafahamika wizi sio poa ila kwa hali ya sasa hata ungeweka bayana hakuna ambaye angekupinga ...

Rekebisha baasi nikusaidie.
Umesahau au hauijui???
 
Sina maelezo zaidi ya hapo Nilikua najaribisha kuweka kwa bahat mbaya kuifungua haikubali Kila Nikijaribu nimeshindwa
 
Kwa mtaalam wa smart phone anisaidie Sim aina ya Itel 1450 Nimesahau yani nimejaribu kukumbuka Nimeishiwa pozi msaada nifanyaje imenibidi niazime simu ili kuomba msaada kwa wataalam
Mkuu jaribu kufata maelekezo yafuatayo :
1.Jaribu kubonyeza button zilizopo pembeni mwa simu yako zote mbili kwa pamoja (button ya kuzimia na kuwashia simu pamoja na ile button ya kuongezea sauti)
2.Baada ya kubonyeza hizo Button kwa pamoja itakuja menu yenye maandishi meengi, sasa tumia button ya kupandisha na kushushia sauti, shuka mpaka walipoandika rebuild system
3. Uiifika kwenye rebuild system bonyeza button ya Power on/off
4. Hapo Utakuwa umemaliza kila kitu subiri kidogo simu yako ijiwashe then Leta mrejesho hapa JF
 
niyakwako kweli hiyo kesho kutwa
 
Mbona nimejaribu nimeshindwa? Add vidole vinaganzi mkuu
 
Mkuu jaribu kufata maelekezo yafuatayo :
1.Jaribu kubonyeza button zilizopo pembeni mwa simu yako zote mbili kwa pamoja (button ya kuzimia na kuwashia simu pamoja na ile button ya kuongezea sauti)
2.Baada ya kubonyeza hizo Button kwa pamoja itakuja menu yenye maandishi meengi, sasa tumia button ya kupandisha na kushushia sauti, shuka mpaka walipoandika rebuild system
3. Uiifika kwenye rebuild system bonyeza button ya Power on/off
4. Hapo Utakuwa umemaliza kila kitu subiri kidogo simu yako ijiwashe then Leta mrejesho hapa JF
Itel inaweza kufa jumla.
 
ila kabla ya kufanya hivyo kama cm ipo on inabidi ai off
 
Back
Top Bottom