Duh Aisee
JF-Expert Member
- Jul 28, 2025
- 915
- 579
Last seen : September 5thNimepigiwa simu TRA wananiita. Namba ya simu ni ya kawaida. Je uzima upo? Sehemu niliyo itwa ni tofauti na kituo changu cha Kodi..
Usalama upo kweli?
N. B : Mimi sio mfanyabiashara mkubwa wala wa Kati.