heartbeats
JF-Expert Member
- Feb 10, 2014
- 8,038
- 13,358
Washamla kichwa huyu sio bure mi siitwi nikaenda kizembe hivi
SidhaniWashamla kichwa huyu sio bure mi siitwi nikaenda kizembe hivi
Kabisa huwezikwrnda kizembeUsiende pekeyako nenda nawashikaji kazaa wakupe escort.
Kuwa na kamera ya siri, Toa taarifa kwa watu wakaribu yako na kwenye mitandao yako ya kijamii.
Namba ya simu iliyokupigia ipigie tena ukiomba location na kumjua aliyekuita kwa cheo chake usisahau kurekodi mazungumzo yenu na mkabidhi mtu unaye muamini pamoja na hiyo namba ya simu.
Hapo kijana nenda kwa amani.
Dah hapo ndiyo hatuna uhakikaSidhani
Usiende pekeyako nenda nawashikaji kazaa wakupe escort.
Kuwa na kamera ya siri, Toa taarifa kwa watu wakaribu yako na kwenye mitandao yako ya kijamii.
Namba ya simu iliyokupigia ipigie tena ukiomba location na kumjua aliyekuita kwa cheo chake usisahau kurekodi mazungumzo yenu na mkabidhi mtu unaye muamini pamoja na hiyo namba ya simu.
Hapo kijana nenda kwa amani.
Nchi haieleweki, labda kama kaamua kutulia au kama ana account nyingine ila bila ya hivyo lazima tuwe na wasiwasiHivi tumefikia huku kweli?
Kitu kidogo tu watu wawe na wasiwasi kiasi hiki?
kweli mkuu kuitwa kihuni huni ni kujihatarishia usalamaIlitakiwa uwaulize hayo maswali yote unaitikiaje wito bila kupata details za kueleweka?
Inatakiwa wakutumie nakala ya maandishi inayoelezea sababu ya wito na deadline ya kwenda,mambo ya kiofisi hayaendi kihuni hivyo
KabisaUsiamini hata kivuli,watu wapo mbele ya muda