kwaiyo sku izi TRA kuna watekaji ama sijakuelewa
Maana kwa uelewa wangu TRA ni mlezi wa wafanya biashara wote Tanzania ukiitwa na mlezi ni suala la kwenda ukasikilize nini kakuitia na km kuna ttzo TRA Hawana shida mtaongea na mtapata majibu bira shida yyte.
Ila kumbuka kutoa pesa huraisisha mawasiliano jifanye mjuaji ile kwako toa pesa kwa maendeleo yako nakwa future yako ya baadae
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.