Wakuu nimeitwa TRA. Usalama upo kweli?

Wakuu nimeitwa TRA. Usalama upo kweli?

Wapuuzi, hao. Achana nao sio deni la kupigiwa simu na TRA. TRA hawapo hivyo kwanza wangekuja ofisini kwako kama wana kwaro.. na kupigiwa simu ungekuwa na mdeni mkubwaa ila sio ki 2 million
Asante sana mkuu. So itakuwa ni wahuni wa mtaani au vijana wa TRA ?
 
Nimepigiwa simu TRA wananiita. Namba ya simu ni ya kawaida. Je uzima upo? Sehemu niliyo itwa ni tofauti na kituo changu cha Kodi..

Usalama upo kweli?

N. B : Mimi sio mfanyabiashara mkubwa wala wa Kati.
Tafuta auditor au consultant uende nae. Pia usiende ulikoitwa. Nenda kituoni kwako unakolipia kodi. Kama nwenyewe watakwambia file lako lipo sehemu fulani. Either wataambiwa wakufuate au utajua Cha kufanya.
 
Asante sana mkuu
 
Back
Top Bottom