Wakuu nimeitwa TRA. Usalama upo kweli?

Wakuu nimeitwa TRA. Usalama upo kweli?

Jiandae kwa kodi, ulisha wahi kufile annual return ?
Ni sole proprietor bado sijawahi and sijalipa Kodi tangu Corona.. Sijafanya biashara muda wote huo.

Nafikiria niende ofisi za TRA Mwenge nikaangalie Deni langu then nilipe hata then niombe kulipa taratibu but kwenda kwa huyo jamaa nafsi inasita
 
Usiende unless wamekupa sababu ya kukuita na mkutane kwenye mazingira ya kazi, muda uwe wa kazi, na usiende mwenyewe na wakati unaenda uage uko wapi
 
Nafsi yako na upeo wako wa kiakili vinakuambiaje kulingana na mazingira yenyewe ya kuitwa kwako?

Hata kama ni tofauti na kituo chako, hakikisha sio sehemu nyingine tofauti na ofsini, na uzingatie sana masaa. Kama utakuwa na wasiwasi, wakati unatoka piga routes za nyoka kabla hujashika route ya kurudi unapokaa.
Asante sana mkuu..

Mimi nitaenda kulipa Kodi Moja kwa Moja kwenye kituo changu cha Kodi nilicho Katia Tin number and then nitatulia
 
Nimepigiwa simu TRA wananiita. Namba ya simu ni ya kawaida. Je uzima upo? Sehemu niliyo itwa ni tofauti na kituo changu cha Kodi..

Usalama upo kweli?

N. B : Mimi sio mfanyabiashara mkubwa wala wa Kati.
Una vimeo ?
kama huna usiende, wao wake ofisini kwako kwani hawapajui
 
Back
Top Bottom