Ulivyofunga je uliandika barua kuwajulisha? Maana utakua na unfilled return za kutosha. Na je ulikua presumptive au trader wa kawaida mwenye wafanyakazi?Yes vimeo ninavyo tangu elfu 2021. Nilifunga ofisi wakati wa Corona
Ulivyofunga je uliandika barua kuwajulisha? Maana utakua na unfilled return za kutosha. Na je ulikua presumptive au trader wa kawaida mwenye wafanyakazi?Yes vimeo ninavyo tangu elfu 2021. Nilifunga ofisi wakati wa Corona
Mwache ajichanganye abinywe kende ,atambue wahuni wapo kaziniIlitakiwa uwaulize hayo maswali yote unaitikiaje wito bila kupata details za kueleweka?
Inatakiwa wakutumie nakala ya maandishi inayoelezea sababu ya wito na deadline ya kwenda,mambo ya kiofisi hayaendi kihuni hivyo
Nilikuwa na mdada wa kazi ofisi ni. Ni kistationery tu kaka na internet cafe... Hapo kwenye barua ndo nilichemka sikuandika ila mwaka 2022 nilienda nikalipa kama laki 3 nilikua na Deni la laki saba so toka elfu 2022 hadi Leo sijalipaUlivyofunga je uliandika barua kuwajulisha? Maana utakua na unfilled return za kutosha. Na je ulikua presumptive au trader wa kawaida mwenye wafanyakazi?
hana haja ya kubadili line, kama ni watu wana mjua wanamjua. Apige chini afanye mambo yake, hapo achekeche awaje kina nani kuanzia hiyo namba iliyompigiaAbadilishe laini ...
aWatakuwa watu gani Hao?
So ulikua presumptive. Maana ilikua huge paye. Acha hofu. Nenda hapo mwenge waone file ambazo hujafile then lipa tulia. Wakikutaka watakutumia barua ya wito.Nilikuwa na mdada wa kazi ofisi ni. Ni kistationery tu kaka na internet cafe.
Nimepigiwa simu TRA wananiita. Namba ya simu ni ya kawaida. Je uzima upo? Sehemu niliyo itwa ni tofauti na kituo changu cha Kodi..
Usalama upo kweli?
N. B : Mimi sio mfanyabiashara mkubwa wala wa Kati.
Nimehoji kaniambia we njoo tutazungumza huku ndio maana nimestukaUnaitwaje mahali na unaacha kuhoji hoja au maswali ya msingi?
Asante sana and vipi nikienda hapo Mwenge na hela ambayo ni Robo ya Deni langu then niwaombe wanipe muda wa kulipa kidogo kidogo? Inakubalika?So ulikua presumptive. Maana ilikua huge paye. Acha hofu. Nenda hapo mwenge waone file ambazo hujafile then lipa tulia. Wakikutaka watakutumia barua ya wito.
Ahaa sawa sawa dah Wacha ntaenda ofisini Mwengewanaweza kuwa vishoka
a
Tena kama mwenge hawawezi poteza mda ku deal na mteja wa 2 millions, pale mwenge nilikuwa na deni la karibia 90 million na sijawai pigiwa simu wala message na nina dunda kwa amani kabisa 😅😅Ahaa sawa sawa dah Wacha ntaenda ofisini Mwenge
Siku hizi fedha inalipiwa kwa control number. Kama we presumptive nenda utengenezewe control number ukalipe. Usiende na fedha mkononi.Asante sana and vipi nikienda hapo Mwenge na hela ambayo ni Robo ya Deni langu then niwaombe wanipe muda wa kulipa kidogo kidogo? Inakubalika?
Asante sana mkuuSiku hizi fedha inalipiwa kwa control number. Kama we presumptive nenda utengenezewe control number ukalipe. Usiende na fedha mkononi.
Asante sana mkuuTena kama mwenge hawawezi poteza mda ku deal na mteja wa 2 millions, pale mwenge nilikuwa na deni la karibia 90 million na sijawai pigiwa simu wala message na nina dunda kwa amani kabisa 😅😅
So hao watakuwa vishoka au wahuni wa mtaani?Tena kama mwenge hawawezi poteza mda ku deal na mteja wa 2 millions, pale mwenge nilikuwa na deni la karibia 90 million na sijawai pigiwa simu wala message na nina dunda kwa amani kabisa 😅😅
Nimehoji kaniambia we njoo tutazungumza huku ndio maana nimestuka
vishoka au wahuni nenda TRA pale kwa issue ya kiusalama, ili wajitafute wenyewe . Isije wakawa watoa kafara kipindi cha uchaguzi hiki 😅😅.. au pia wanaweza wakawa wamechanganya mawasialianoSo hao watakuwa vishoka au wahuni wa mtaani?
Asante sana mkuu.vishoka au wahuni nenda TRA pale kwa issue ya kiusalama, ili wajitafute wenyewe . Isije wakawa watoa kafara kipindi cha uchaguzi hiki 😅😅.. au pia wanaweza wakawa wamechanganya mawasialiano