Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 39,778
- 61,439
- Thread starter
- #41
Sawa mkuu; nipo kwenye huu uzi, ''Picha za Warembo Wakali World wide. Tupia picha Only Beautiful Ladies'' naweza kubahatisha waifu matirio.Oa mkuu.
Sawa mkuu; nipo kwenye huu uzi, ''Picha za Warembo Wakali World wide. Tupia picha Only Beautiful Ladies'' naweza kubahatisha waifu matirio.Oa mkuu.
Fanya hima mkuu, umpate wa kukufariji.Sawa mkuu; nipo kwenye huu uzi, ''Picha za Warembo Wakali World wide. Tupia picha Only Beautiful Ladies'' naweza kubahatisha waifu matirio.
Fanya hivo mzee mcheleHuu ushauri wako huu, ngoja niutafakari pamoja na wazee wenzangu waliomo humu jf
Nijenge kesho yake mie nani kajenga kesho yangu.Kumbe uliwasaidia ili waje kukusaidia na sio kujenga kesho yao?...Watu weusi wataendelea kubaki nyuma sana katika Uchumi binafsi
Ndio kuna wazee?Facebook moja sio
ha ha haNijenge kesho mie nani kaajenga kesho yangu.
Vijana wa siku hizi hamuwaheshimu wazee kabisaUkimfuatilia vizuri mleta mada miaka 25 hajafika
Copy and pasteNdio kuna wazee?
Sijaiona hiyo, labda wawe wamechukua huku.Copy and paste
Kwanini uliwaleta duniani? Kama wewe hukujengewa ni makosa ya wazazi wakoNijenge kesho yake mie nani kajenga kesho yangu.
Wazazi wangu hawana makosa yoyote, kipato chao ni kwaajili yao ndio maana nimejenga maisha yangu kwa nguvu zangu. Sina wajibu wa kumjengea maisha mtoto, wajibu wangu ni kumsomesha tu.Kwanini uliwaleta duniani? Kama wewe hukujengewa ni makosa ya wazazi wako
Hiyo kumsomesha ndio kumjengea kesho yake. Usingejali kesho yake basi hata usingemsomeshaWazazi wangu hawana makosa yoyote, kipato chao ni kwaajili yao ndio maana nimejenga maisha yangu kwa nguvu zangu. Sina wajibu wa kumjengea maisha mtoto, wajibu wangu ni kumsomesha tu.