Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 39,752
- 61,389
- Thread starter
- #21
Ipi, ya kurudi chuoni ili kuchangamsha akili?Ila hii idea nzuri sana
Ipi, ya kurudi chuoni ili kuchangamsha akili?Ila hii idea nzuri sana
Ndio mzee. Unatafuta zako kachuo mbali kabisa ata certificate tuIpi, ya kurudi chuoni ili kuchangamsha akili?
Ni wazo zuri sana, changamoto ni hela zinakuwa zinapukutika tu huku haziingii. Kama mfumo umeuweka vizuri, ni maisha mazuri sana.Ndio mzee. Unatafuta zako kachuo mbali kabisa ata certificate tu
Kipindi iko upweke nje nje. Either ufuge for fun, washkaji zako wawe wafanyakazi wako au wateja zako au ndio ufanye kwenda ata short courseNi wazo zuri sana, changamoto ni hela zinakuwa zinapukutika tu huku haziingii. Kama mfumo umeuweka vizuri, ni maisha mazuri sana.
Muhimu ni kujipangaKwa mazingira haya hakuna haja ya kuwa na watoto kwa sababu ni 'liability'
Huu ushauri wako huu, ngoja niutafakari pamoja na wazee wenzangu waliomo humu jfSAMAHAN MZEE MWENZANGU KAMA TAKUKOSEA, BADILI MFUMO WA MAISHA, ACHA KUVAA SURUALI YA KITAMBAA VAA JEANS, SURUALI YA KITAMBAA ITAKUKATISHA TAMAA MANA KIMFUMO HUONESHA MTU KAZEEKA, NYOA KAMA LISUU KAKIDUKI DIZAINI, USIPENDE KUKAA NA WAZEE WENZAKO, KAA NA VIJANA KUPITIA MICHEZO YANI SOKA MPIRA WA MIGUU PALE ARUSHA UWANJA WA BLAEBURN HUWA KUNA VIJANA WANACHEZA WAMEJICHANGANYA NA WAZEE SAFI KABISA MNATANIANA, MNATUKANANA, KUNA MUDA MNACHEZA, UNAJIKUTA UNASAHAU UMRI WAKO HATA NA MKE UNAMSAHAU JIWEKE NORMAL HUDHURIA SANA SHEREHE ZA HARUSI, NK, USINYWE POMBE ACHA, USIENDE CLUB, JITAHIDI UFUNGE KULA WALAU MARA MBILI KWA WIKI, JICHANGANYE GYM, KWISHA KABISA, KAMA VIPI KADEMU PEMBENI OA USILE HOVYO HUO UMRI UKIPATA MAGONJWA YA ZINAA FASTA UNAWAHISHWA
Ndio maana wazee wengine wanakimbilia kuoa vibinti vidogo ili wawape kampani huko uzeeni. Kwa wenzetu wazungu bibi vizee wanakuja kutafuta vijana Afrika na kuwafanya marioo ili wawape kampani huko uzeeni.Wanaume huwa tunateseka sana pale nguvu zimepungua hili liwe somo tosha kwa vijana kujiwekea akiba ni muhimu sana, uzeeni watoto wetu wanna base sana kwa mama yao ww unabaki na upweke wako hata mkeo hatokujali, kukuzingatia wala kukusikiliza kama sasa
Vijukuu na vitukuu haviletwi kwa sababu ya macho mekundu ya uzeeni, wengine wanasema tukiwa wazee tunakuwa wachawi.uvivu wa kucheza na vitukuu na vijujukuu unakupelekea mawazo haya
Tatizo nyie vijana wa siku hizi, ni wabishi sana kuwasikiliza wazeeWewe si umetuambia wanaume ambao tunajipikilisha kuwa bado Hatujakua.!!
Sasa nimeamini alicho wahi kisema Joanah kuwa wewe kwenye taarifa zako 6, na mimi naongeza kwa kusema kwenye taarifa zako 20 inatakiwa isiaminiwe taarifa yako yoyote ile.!!
Kwanini nini isiwe Golf ⛳ au Chess♟️?Hebu toka online kacheze bao au draft na wazee wenzako
Kama watakuwa wanaleta bili nyingi, huko uzeeni kutakuwa na changamoto.Wanaume wenye wake zaidi ya mmoja huwa wanaishi maisha marefu na yenye furaha uzeeni alooo...
Mini nina tarajia kuongeza mke wa tatu mwakani nikifikisha miaka 60....😋
Agemate una mipango mujarab.Wanaume wenye wake zaidi ya mmoja huwa wanaishi maisha marefu na yenye furaha uzeeni alooo...
Mini nina tarajia kuongeza mke wa tatu mwakani nikifikisha miaka 60....😋
Wanasema eti ata vibaka huwa wanazeekaDuh!79 yrs mwamba kaona mengi sasa atakuwa great thinkers